CCM hawajiheshimu

CCM hawajiheshimu

Mkuu Allen,
Kinana amaesema viongozi wa Chama wawe qwakali kwa watendaji - hilo ni chagizo kwamba hebu msikae kimya tuu kwa mambo yanavyofanywa na watendaji serikalini. Again mkuu, kwa hali ilivyo Tz hapa acha wamsaidie Bi Mkubwa
Hayo ya kuwasema wana CCM wenzake hakuna anayejali. Lakini kutoa maagizo kwa watendaji wa serikali, ni kutojiheshimu.
 
Ngoja chadema na wananchi tuanze mikutano ya hadhara hakuna wa kuzuia Sasa maana ni KWa mjibu wa katiba, itafanyika , tumekua wapumbavu Yani ccm ifanye mikutano kana kwamba nchi ya kwao wengine hakuna, panueni Magereza ,shame on you
Chadema ipi?
 
Chadema ipi?
CHADEMA ni CHADEMA tu.

Naona umetoka kula "Pudding" unasubiria ule mlo kamili. Mlioko karibu na Pharaoh CCM, maisha mmeyapatia. Siye wengine saa hizi tunaisaka mihogo tujaze tumbo na kachumbari za mama ntilie.
 
mimi mwenyewe nimejiuliza maana ukifatilia unaona serikali inaendeshwa na chama japo viongozi tuna wapata kupitia chama kama katiba inavosema.

kuna kitu kinaitaji kubadilishwa kwenye Katiba au katiba mpya
 
Hata hapo kwenu mkuu,kuna kipindi madiwani walijianzishia ziara kutembelea miradi bila mawasiliano na Mkurugenzi wa manispaa.

Mkurugenzi aliwapiga spana za kwenye makomwe yao wakatulia.Hii inaonesha ni kwa kiwango kipi bado miongozo na taratibu za uongozi na utendaji ambavyo hauleweki kwa baadhi yao.

Wanahitaji kupewa elimu.Ukikutana na mtekelezaji/mtendaji jeuri anakuaibisha jua la saa sita.
Hii inaonyesha viongozi hawana Terms of Reference kwa hivyo hawajui malengo na mipaka yao ya madaraka waliyopewa.
 
Muwe mnaelewa ndugu zangu vitu vyepesi na Rahisi Kama hivi, CCM ndio iliyounda serikali baada ya kuchaguliwa na watanzania, CCM ndio iliyoomba kura kutoka kwa wananchi, CCM haikuundwa na serikali Bali CCM ndio iliyounda serikali iliyopo madarakani, CCM ndio itakayokwenda kwa wananchi kuwaeleza imefanya Nini na imetekeleza Nini kulingana na ilivyoahidi katika uchaguzi uliopita

CCM ndio itakayopita majukwaani na mitaani Tena kuomba kura na Ridhaa ya wananchi, Sasa kwanini isikague utekelezaji wa ilani yake? Kwanini usiende kusikiliza kero za wananchi? Kwanini isiwasemee wananchi walioichagua na kuiweka madarakani? Unataka Nani afanye kazi hiyo? Unataka ikae tu ofisini? Unataka ikaseme Nini uchaguzi ujao Kama isipojuwa kinachoendelea na kufanywa na serikali yake?

CCM ndio iliyoingia mkataba na wananchi wa kuwatumikia kwa nguvu zake zote, Sasa kwanini isifuatilie utekelezaji wa mkataba wake wa kiutumishi? Unataka ivunje mkataba huo halafu one inyimwe kura Kama adhabu?

Tuiache CCM ifanye kazi yake na nyinyi subilini uchaguzi ujao mtawaeleza hayo wananchi ili muone Kama watawaelewa maana watanzania wa leo siyo wajinga na hawawezi kumpa mtu uongozi anayekaa ofsini muda wote
 
CCM inapokea kutoka serikalini taarifa ya utekelezaji wa ilani kupitia kikao maalum cha CCM na Serikali. Chama kinatakiwa kutumia vikao hivyo kutoa maelekezo kwa Serikali na sio viongozi wake kuvamia watendaji vijijini na kuagiza wanachofikiria wao bila kuzingatia chain of command.
 
Chama kinachojielewa hakiwezi kiwe kimekaa tu kinasubiri taarifa mezani, wewe huwezi ukawa kiongozi mzuri maana utadanganywa kwa mengi Sana wewe
 
CCM inapokea kutoka serikalini taarifa ya utekelezaji wa ilani kupitia kikao maalum cha CCM na Serikali. Chama kinatakiwa kutumia vikao hivyo kutoa maelekezo kwa Serikali na sio viongozi wake kuvamia watendaji vijijini na kuagiza wanachofikiria wao bila kuzingatia chain of command.
Umeipata hoja yangu kirahisi sana. Mfumo ni chama kutumia vikao vyake, full stop.
 
Ulishaona kule marekani uchaguzi ukiiisha walioshindwa wanaanza kuzurula mitaani kupiga soga za kuitukana serikali Kama mnavyotaka hapa nchini
Sana.

Baada ya kuchaguliwa hakuna mtu anayezuiliwa kufanya siasa, ila wale tamaduni zao zimeshavuka kiwango cha mikutano ya hadhara. Leo Trump anazunguka Marekani nzima atakavyo na hazuiliwi.
 
Kwani huku Tanzania hamdhululi mitaani na matisheti yenu ya katiba mpya vifuani mwenu?

Back
Top Bottom