Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,061
No reforms No Election iliishinda Kampeni yenu ya Oktoba tunatiki.
Hapa inaonesha hujui maana ya Uchaguzi. Kupiga kura siyo kila kitu kwenye uchaguzi. Ni kweli kuwa Kura zilipigwa lakini uchaguzi haukufanyika.Ilishinda vip na uchaguzi ulifanyika na Rais tunae?? lengo lilikua ni kuzia uchaguzi kama ntakua sijakosea
Think tank ya CCM ni Yericko Nyerere hawawezi kuwa na akili hata kidogoNaziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho.
China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie.
Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila ya kuwa na mbadala wake.
CCM ijue kuwa haiwezi kushindana kwenye zama hizi za teknolojia janja (Smart technology) kwa kutumia mifumo ya analojia kama vile kuteka au kukamata watu wanaoikosoa mitandaoni.
Jifunzeni imekuwaje No reforms No Election iliishinda Kampeni yenu ya Oktoba tunatiki.
Jamaa wa ujasusi toka Mbutu Kigamboni...Think tank ya CCM ni Yericko Nyerere hawawezi kuwa na akili hata kidogo
Nani alipiga kura?Ilishinda vip na uchaguzi ulifanyika na Rais tunae?? lengo lilikua ni kuzuia uchaguzi kama ntakua sijakosea
Hapo sasa ndipo kuna tofauti Kati ya uchaguzi na kupiga kura. Kama kati ya watu Elfu hamsini au sabini wanaopiga kura wawe ishirini, basi huo siyo uchaguzi ingawa kura zitakuwa zimepigwa.Nani alipiga kura?
Watu ishiri shirini kwenye vituo vilivyokuwa vimeandikisha watu zaidi ya elfu 50 mpaka elfu 70?
Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila ya kuwa na mbadala wake.
HahahaHapo sasa ndipo kuna tofauti Kati ya uchaguzi na kupiga kura. Kama kati ya watu Elfu hamsini au sabini wanaopiga kura wawe ishirini, basi huo siyo uchaguzi ingawa kura zitakuwa zimepigwa.
HeheheNani alipiga kura?
Watu ishiri shirini kwenye vituo vilivyokuwa vimeandikisha watu zaidi ya elfu 50 mpaka elfu 70?
Tatizo la cama changu wanawaua wenye uwezo kiakili na kuwaacha wahuni mambumbu ndio washike hatma ya chama!Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho.
China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie.
Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila ya kuwa na mbadala wake.
CCM ijue kuwa haiwezi kushindana kwenye zama hizi za teknolojia janja (Smart technology) kwa kutumia mifumo ya analojia kama vile kuteka au kukamata watu wanaoikosoa mitandaoni.
Jifunzeni imekuwaje No reforms No Election iliishinda Kampeni yenu ya Oktoba tunatiki.
Hata kura hazikupigwa. Watu 1,000 kupiga kura huwezi kusema kura zilipigwaHapa inaonesha hujui maana ya Uchaguzi. Kupiga kura siyo kila kitu kwenye uchaguzi. Ni kweli kuwa Kura zilipigwa lakini uchaguzi haukufanyika.
Mechanical politics😂😂CCM ya kina Wassira bado wapo analogy wanadhani kampeni lazima uzunguke kijiji ukipiga debe kuwakusanya wanakijiji hawaamimi kampeni inaweza kufanywa kwa mitandao.
Nyakati zimewapita...Mechanical politics😂😂
Na wala hawashtuki au wameishiwa mbinu kabisaNyakati zimewapita...
Wewe mmojawapo ya wanachama wa CCM wachache waliobaki na akili yao ya kuzaliwa nayo.Tatizo la cama changu wanawaua wenye uwezo kiakili na kuwaacha wahuni mambumbu ndio washike hatma ya chama!
Yaani MTU kama Mzee warioba alipaswa ndio awe mlezi mkuu was chama na mfano wa kuigwa ndani ya chama!
Lakini eti anajibiwa na kihongosi eti ana chuki dhidi ya wateule!!
Pole pole Humphrey,no Moja kati ya makada aliekosoa chama kwa kubembeleza na staha ya Nini kifanyike!!matokeo yake wamekula kichwa na mauaji ya October yakatokea ambayo Sasa hivi kujisafisha tunatumia mkono wa damu na pesa kiweka mambo sawa!!
Tuna tatizo kubwa mno!
Wenye akili ndani ya chama wangeandaa mbadala was Kila mapito ndani ya chama!wasio na akili wanatka walinde mazoea Kwa mkono wa damu hata kama nyakati zimebadilika!!
Wagawa sanda...Wasioendekeza njaa.
Watu waliopiga kura kwa Tanzania nzima hawafiki hata milioni mbili hizo milioni 30 zingine ni kura za maruhani, rais aliyepigiwa kura na maruhani huyo si rais bali ni kibwengo tu.Hapa inaonesha hujui maana ya Uchaguzi. Kupiga kura siyo kila kitu kwenye uchaguzi. Ni kweli kuwa Kura zilipigwa lakini uchaguzi haukufanyika.