CCM hakuna kama Lowassa

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,310
12,607
Utake usitake Kwa sasa CCM hakuna mtu kama Lowasa, mimi sina maslahi ya moja kwa moja na siasa wala Lowassa lakini najua kitu kizuri kinafananaje. Watanzania tusije tukadanganyika kwamba Lowasa ni fisadi wa Richmond, Richmond ni mfumo mzima wa CCM na Serikali yake, ndo maana hakuna aliyefungwa kwenye hili. Ili CCM iweze kukohoa na kutema kohozi 2015 lazima wawafikirie wafuatao kwenye kinyang'anyilo:

1.Lowassa: Ni mchapakazi
2. Chiligati (Capteni): Ni mchapakazi na hana kashfa yoyote kubwa
3. Magufuli: Ni mchapakazi
4. -------- endeleeni kutaja ili kuwasaidia CCM vinginevyo watashindwa kutema kohozi 2015
 
hakuna kama lowasa,...magufuli ni mzuri kwenye mdomo to kuongea hata takwimu ambazo hazipo..ila amebarikiwa kuongea halafu wananchi wanaopokea bila kutathmini wakamkubali...magufuli hana lolote, kumbuka kwenye uuzaji wa nyumba, yeye pia ilisemekana amenunua nyumba, ingine kamnunulia mdogo wake na nyingine kamnunulia girlfriend...lakini akija kwa wananchi anajifanya anachapa sana kazi..ukienda usukumani huko, wanamsifia sana kumbe hawajui yaliyojificha kwake...anafaa kuwa waziri tu na si rais...kwa urais, tunahitaji Lowasa awe rais.....amini msiamini kama alishafanya makosa au uzembe wowote kipindi kile, mkimpa urais msijefikiri atafanya madudu tena, ameshaonja joto la jiwe, atakuwa makini kuliko maelezo kwasababu anajua kusutwa ati...amesutwa na kila mtz kwenye richmond, hivyo asingependa kuingia kikaangoni tena...tunataka lowasa awe rais.
 
Hiyo ni ngumu sana kumeza, kwani inamaana tupo wachache sana kiasi cha kudhani kuwa nilazima waliokuwepo kwenye RICHMUND ndoo wanatakiwa tena ?
 
Utake usitake Kwa sasa CCM hakuna mtu kama Lowasa, mimi sina maslahi ya moja kwa moja na siasa.....
4. -------- endeleeni kutaja ili kuwasaidia CCM vinginevyo watashindwa kutema kohozi 2015

kavulata

Hivi Lowasa ni mtu?

Halafu hujatosheka bado na CCM?
 
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.

1 Peter 2:4-7.
Marco 12:10
Luka 20:17-18
Psalm 118:22
Mathayo 21:42-44
 
Ingawa ni mawazo yako ni potofu sana. Lowassa anafaa nini wakati alituingiza kwenye magawo wa umeme kutokana na tamaa zake za madaraka na fedha? Mara hii umesahau Richmond! Kweli watanzania wengi ni ubongo wa pelege ukiachia mbali kuwa nepoi za mafisadi. Wewe sema ukweli kuwa unajikomba kwa Lowassa ili akutumie. Hovyo firauni mkubwa.
 
Utake usitake Kwa sasa CCM hakuna mtu kama Lowasa, mimi sina maslahi ya moja kwa moja na siasa wala Lowassa lakini najua kitu kizuri kinafananaje. Watanzania tusije tukadanganyika kwamba Lowasa ni fisadi wa Richmond, Richmond ni mfumo mzima wa CCM na Serikali yake, ndo maana hakuna aliyefungwa kwenye hili. Ili CCM iweze kukohoa na kutema kohozi 2015 lazima wawafikirie wafuatao kwenye kinyang'anyilo:

1.Lowassa: Ni mchapakazi
2. Chiligati (Capteni): Ni mchapakazi na hana kashfa yoyote kubwa
3. Magufuli: Ni mchapakazi
4. -------- endeleeni kutaja ili kuwasaidia CCM vinginevyo watashindwa kutema kohozi 2015

Hapo sijakupata mkuu. Ina maana ana kashfa ndogo ndogo!? Watanzania kweli tumeharibiwa kisaikolojia na wanasiasa.
 
Tatizo huyo lowasa hajui kujiexpress.nimekua nikimtizama kwenye mahojiano ,yaani hawezi kabisa kuongea.ATAZIFANYAJE KAMPENI.WATAMPIGA BAO.
 
HIVI MNASHIDA GANI NYIE?? UYU FISADI EL BADO MNAMPIGIA KAMPENI?? DUH KWELI JF MAZUZU YANAZIDI KUONGEZEKA,AU NAE KAWAAIDI MAISHA BORA AU HALI MPYA, HII KWELI BADO NCHI YA DANGANYIKA NA NAMUOMBA MUNGU ILI CCM WAMSIMAMISHE KISHA WASHUHUDIE MGOMBEA WAO AKIPATA KURA KAMA LAKI TANO IVI, DAH ITAKUWA SHUGULI KWANI WACHAKACHUAJI USALAMA WA TAIFA NA CCM WATACHOKA NA KUIPA UONGOZI WA NCHI HII CDM THE GREAT NA FROM THAT MOMENT ITAKUWA RAHA PIA UTAMu
 
Tatizo huyo lowasa hajui kujiexpress.nimekua nikimtizama kwenye mahojiano ,yaani hawezi kabisa kuongea.ATAZIFANYAJE KAMPENI.WATAMPIGA BAO.

Watu wa kuongea wako wengi nchi hii, tunataka mtu wa vitendo na anayesimamia japo hayo machache atakayoongeaPERIOD
 
Kama wale wa nape sasa tuna hawa wa lowasa nazani hawa wa lowasa watakuwa wanalipwa nyingi sana.
 
Ni lini serikali itaharamisha/kuzuia matumizi ya GONGO na BANGI..
 
Utake usitake Kwa sasa CCM hakuna mtu kama Lowasa, mimi sina maslahi ya moja kwa moja na siasa wala Lowassa lakini najua kitu kizuri kinafananaje. Watanzania tusije tukadanganyika kwamba Lowasa ni fisadi wa Richmond, Richmond ni mfumo mzima wa CCM na Serikali yake, ndo maana hakuna aliyefungwa kwenye hili. Ili CCM iweze kukohoa na kutema kohozi 2015 lazima wawafikirie wafuatao kwenye kinyang'anyilo:

1.Lowassa: Ni mchapakazi
2. Chiligati (Capteni): Ni mchapakazi na hana kashfa yoyote kubwa
3. Magufuli: Ni mchapakazi
4. -------- endeleeni kutaja ili kuwasaidia CCM vinginevyo watashindwa kutema kohozi 2015

mi nashauri lowasa ajiunge jamvini ili tuanze kumhoji kama kuna watu wana mashaka basi waweze jibiwa,umwambie ajiunge sawa mkuu
 
Wazee wa ccm-Mbeya wamedai kumtaka Prof.Mark Mwandosya tu,vinginevyo wapo tayari kushirikiana na upinzani kuiangusha ccm.
 
hakuna kama lowasa,...magufuli ni mzuri kwenye mdomo to kuongea hata takwimu ambazo hazipo..ila amebarikiwa kuongea halafu wananchi wanaopokea bila kutathmini wakamkubali...magufuli hana lolote, kumbuka kwenye uuzaji wa nyumba, yeye pia ilisemekana amenunua nyumba, ingine kamnunulia mdogo wake na nyingine kamnunulia girlfriend...lakini akija kwa wananchi anajifanya anachapa sana kazi..ukienda usukumani huko, wanamsifia sana kumbe hawajui yaliyojificha kwake...anafaa kuwa waziri tu na si rais...kwa urais, tunahitaji Lowasa awe rais.....amini msiamini kama alishafanya makosa au uzembe wowote kipindi kile, mkimpa urais msijefikiri atafanya madudu tena, ameshaonja joto la jiwe, atakuwa makini kuliko maelezo kwasababu anajua kusutwa ati...amesutwa na kila mtz kwenye richmond, hivyo asingependa kuingia kikaangoni tena...tunataka lowasa awe rais.

Kumbe ndo nia yako hii!!!? Nimekusoma kwenye ile mada yako ukiwa unajifichaficha sasa naona umejivua nguo!!

Mkuu vp wewe umeajiriwa lini!!? "Mnamtaka EL awe Raisi" wewe na nani!!? Mbona mnakuwa na vichwa vya Panzi wewe na mleta mada? Hata aibu hamna!!?

Mnastahili kutukanwa matusi yote mnayoyajua!!
 
Back
Top Bottom