Msolopagazi
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 663
- 153
Wrong list with very wrong People yaani na Chiligati yumo labda agombee serikaLi za mitaa au ujumbe wa nyumba kumi au wanataka. Slaa apite bila shida yoyote
HIVI MNASHIDA GANI NYIE?? UYU FISADI EL BADO MNAMPIGIA KAMPENI?? DUH KWELI JF MAZUZU YANAZIDI KUONGEZEKA,AU NAE KAWAAIDI MAISHA BORA AU HALI MPYA, HII KWELI BADO NCHI YA DANGANYIKA NA NAMUOMBA MUNGU ILI CCM WAMSIMAMISHE KISHA WASHUHUDIE MGOMBEA WAO AKIPATA KURA KAMA LAKI TANO IVI, DAH ITAKUWA SHUGULI KWANI WACHAKACHUAJI USALAMA WA TAIFA NA CCM WATACHOKA NA KUIPA UONGOZI WA NCHI HII CDM THE GREAT NA FROM THAT MOMENT ITAKUWA RAHA PIA UTAMu
Acha kupotosha jamii ya Watz. Kama hujui achaaaa!!!!!. Nani akate tawi mti aliokalia au nani amfunge paka kengere. Wote wameoza. Ukitakatujadili toa hayo maneno yako.Utake usitake Kwa sasa CCM hakuna mtu kama Lowasa, mimi sina maslahi ya moja kwa moja na siasa wala Lowassa lakini najua kitu kizuri kinafananaje. Watanzania tusije tukadanganyika kwamba Lowasa ni fisadi wa Richmond, Richmond ni mfumo mzima wa CCM na Serikali yake, ndo maana hakuna aliyefungwa kwenye hili. Ili CCM iweze kukohoa na kutema kohozi 2015 lazima wawafikirie wafuatao kwenye kinyang'anyilo:
1.Lowassa: Ni mchapakazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
2. Chiligati (Capteni): Ni mchapakazi na hana kashfa yoyote kubwa
3. Magufuli: Ni mchapakazi
4. -------- endeleeni kutaja ili kuwasaidia CCM vinginevyo watashindwa kutema kohozi 2015
Mzigo wa Richmond bado ni wa Lowasa, na kama sio wake basi aseme ni wa nani?
fisadi kwako sisi wengine tunampenda na tunamuhitaji
Naona mtoa mada ana tatizo la IQ maana amengangania hoja ya uchapakazi, hakuna sifa nyingine ya kuwa kiongozi?Utake usitake Kwa sasa CCM hakuna mtu kama Lowasa, mimi sina maslahi ya moja kwa moja na siasa wala Lowassa lakini najua kitu kizuri kinafananaje. Watanzania tusije tukadanganyika kwamba Lowasa ni fisadi wa Richmond, Richmond ni mfumo mzima wa CCM na Serikali yake, ndo maana hakuna aliyefungwa kwenye hili. Ili CCM iweze kukohoa na kutema kohozi 2015 lazima wawafikirie wafuatao kwenye kinyang'anyilo:1.Lowassa: Ni mchapakazi2. Chiligati (Capteni): Ni mchapakazi na hana kashfa yoyote kubwa3. Magufuli: Ni mchapakazi4. -------- endeleeni kutaja ili kuwasaidia CCM vinginevyo watashindwa kutema kohozi 2015
mi nashauri lowasa ajiunge jamvini ili tuanze kumhoji kama kuna watu wana mashaka basi waweze jibiwa,umwambie ajiunge sawa mkuu
Pamoja na sera za chama chake akipitishwa haya ni mawazo anayopigania kutekeleza kwa dhati kabisa, na hata kama
asipopitishwa anasema msaada wake mkubwa wa kumshauri rais ajaye yatakuwa katika haya mambo......leo nawaletea sekta chache ili tuweze kujadili kwa pamoja kwa ajili ya maboresho.
Economy
- Target a 8-11% growth by 2017 (note; the growth should reflect poverty reduction)
- reduce the public deficit, so that the government spends more money on social and community services
- keeping the exchange rate stable and control the flow of money into the economy in order to lower interests rates and keep inflation in check
- take/establish at least one major industrial to each Mkoa and establish 24 hours economy in Dar, Arusha and Mwanza (Note: security will be intensified)
- restructure/ establish the youth empowerment fund
- open semi industrial estates all over Tanzania to support and develop new business concerns
- fast track the growth of special economic zones in major urban areas (EPZ's)
- enhance the use of ICT for increased productivity and efficiency and make Tanzania in to an information society
- promote local investment through tax and other incentives
- Agriculture
- Subsidies farm inputs to ensure increased yield
- extensive investment in rural urban infrastructure to facilitates access to market
- reintroduce free extension services in different branches of the particular sector
- establish/strengthen co-operatives and integrate rural production with the rest of of the economy via infrastructure development and better market
- Promote value addition in agriculture through use of taxation and other measures
- promote greater agriculture research and developing crop variety that can withstand climate change (as we all know the impact of climate change in Dodama, Shinyanga, Singida, and part of Tabora)
- encourage investment in post-harvest processing and preservation and storage technologies, this will be done to maximize return to rural producers to ensure stable as well as food supply and affordability to consumers
Security
- Improve and extend national security structure to ensure security for all and with human right face
- develop strategy to strengthen response to terrorist act in the country like that happening in Arusha and Zanzibar
- introduce the use of CCTV In DAR city center
Social Security
NB: haya ni machache mengine nitazidi kuwaletea PILLARS kwa PILLARS
- introduce pension scheme for those aged 70 and over
- extend cash transfer for orphan and vulnerable children
- design a new scheme of targeting relief to poor rural household
- strengthen a health care package that includes maternal care and treatment for such pandemic as HIV/AIDS
- extend health education and concentrate on preventive health care
Note: kwa kweli Tanzania tunaitaji kiongozi mwenye vission, mission, strategies, skills, mechanisms, kama huyu mtu, kadri siku zinavyozidi kwenda, unazidi kunikosha na opinions zinazolenga hasa hasa kutupeleka katika middle income country by 2025....Kiongozi lazima aonyeshe njia, (sio kusubiri upewe sera na chama tu au familia ya WAMA), chama kinaweza kukupa vitu ambavyo uwezi kutekeleza, HIVYO ni wazi kiongozi kuwa na ideas zake then wananchi washirikishwe kwenye mijadala ili maboresho yapatikane kwa uzuri zaidi..
Imekaa vyema!haswa la uchumi kuendeshwa masaa 24 maeneo ya mijini.Tatizo wanaomzunguka ma ccm ni bomu mafisadi ukiritimba bure kabisa.Pamoja na sera za chama chake akipitishwa haya ni mawazo anayopigania kutekeleza kwa dhati kabisa, na hata kama