nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,934
Kumwambia mwananchi apeleke mtoto akiwa na dawati huo siyo mchango?Michango imepigwa marufuku!
Unajua maana ya bure lakini?Michango imepigwa marufuku!
Siasa tu hizo.Uhalisia ukipeleka mtoto shule.Michango imepigwa marufuku!
Kwani wakati mnawakataa hamkujua kitakachofuata?Tumia akili ndogo uliyobaki nayo.
Unahakika niliwapigia?
Ukihoji sana unaambiwa hao ni walinda usalama so hizo ndiyo tip zao 😲!.Unajua maana ya bure lakini????
Fikiria mwanafunzi haingizi chochote analipa nauli kwenye bus.polisi na wanajeshi wanalipwa mishahara na maposho kibao hawalipi chochote. Hilo ni taifa gani kama siyo la majuha.
maneno ya kwenye majukwaa.Michango imepigwa marufuku!
😂😂😂😂Kabisa ila ukifika unauziwa kabisamaneno ya kwenye majukwaa.
Ni kama tanesco na nguzo za umeme, eti haziuzwi?!
Ni punguzo tumepewaSaalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Ila mengine yanaanzishwa tu na viongozi wa eneo husika, wanapingana na kauli ya elimu bure kwa vitendo wanaamini haiwezekani,Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Sio Moro tu, hata huku d.1 juzi katukalisha kkao eti mchango wa ujenzi wa madarasa hayatoshi.!Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Michango ipo sana,,tena sana ,,,Michango imepigwa marufuku!
Sifa yao kubwa utaiona tu, haijifichi. Kama kawaida ni mingine tena!Kwahiyo ulitaka mtoto wako akakae kwenye nini kama hujapeleka dawati ila nakushauri kama unaona kazi kwenda na dawati mpeleke shule za private kule hawaendi na madawati.
Wapinzani si wanachelewesha maendeleo! basi hayo hapo mkuu mmepata connectionSaalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Huyo mpuuzi hana hata mtoto anaishi kwa binti yake wa kufikia, yeye mwenyewe ni mhudumu ofisi za chamaKumwambia mwananchi apeleke mtoto akiwa na dawati huo siyo mchango?