How do you justify this rather loaded statement Bwana Kasheshe?
Mpaka sasa hili ndilo nililiong'amua kama ningeambiwa nani wakum-approve kuongoza Tanzania leo ningesema neither one!
Kuna mengi CHADEMA wanayafanya leo bila kutambua wakiwa madarakani watafanyiwa the same... kwa watu wanaongalia mbali kuna mengi wasingefanya kama wanavyofanya leo... Lakini ndio hivyo tena tabia ya opportunist haangalii mbali sana.
Bado namkumbuka Mh. Mkapa alivyofanya kampeni zake 1995 kwa kuhakikisha haahidi asali alafu a-delive maziwa... yeye alihakikisha hai-raise expectation sana... na eventually akawa winner... seen as over delivered, kumbe ni kwa sababu hakuahidi makuu... JK yeye ameahidi nchi ya ahadi na anadeliver kawaida... regardless what hawezi kumfurahisha yeyote sio kwa sababu kwamba kashindwa bali kwa kuwa ameahidi makuu, hili ndio kosa CHADEMA inalorudia na inalofanya leo.
Muigeni Mkapa... think BIG, think STRATEGIC... na angalieni mbali msijione kama chama pinzani wakati wote... wakati mwingine jioneni kama chama tawala... otherwise itakula kwenu big time!
Kasheshe,
..tatizo ni kwamba JK hana uwezo wa kuongoza.
..kwa katiba yetu ya sasa hivi, the country succeeds or fails kulingana na uwezo wa Raisi aliyepo madarakani.
..hivi huu ndiyo utendaji wa mtu aliyejiandaa miaka zaidi ya 10 kuwa Raisi wa Tanzania??
..je, angechukua nchi wakati ina matatizo kama alivyoikuta Alhaj Mwinyi, au Mzee Mkapa, mnategemea tungekuwa na hali gani sasa hivi?
..tatizo lingine ni kwamba JK ameanza "kula" wakati wa awamu yake ya kwanza. waliomtangulia walichapa kazi ktk awamu zao za kwanza na kuanza ulaji wakati wanaelekea kustaafu.
..JK amechukua nchi wakati tuna akiba ya fedha ktk hazina yetu, tuna mahusiano mazuri na vyombo vya fedha, mashirika ya kimataifa na jumuiya za wafadhili, pia nchi ikiwa ikiwa na vivutio vingi kwa wawekezaji, bila kusahahu maliasili tulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu. there was a perfect opportunity kwa JK kufanya vizuri, if not wonders, kuliko maraisi wote waliomtangulia.
..binafsi naamini yote aliyoahidi JK yanatekelezeka, tatizo ni kwamba hayuko makini ktk kutekeleza ahadi zake. mazingira hayo ndiyo yanayotoa nafasi kwa Chadema kumuandamana kila kukicha. wa-Tanzania wa sasa hivi wamebadilika mno. hawaridhiki tena na ahadi nzuri nzuri za wanasiasa. wa-Tanzania sasa wanataka MATOKEO .
Nchi inajiendesha yenyewe hii, wakiikamata CDM hawatakuwa na kazi kubwa ya kufanya. Only kujitenga na mafisadi, kumtupa ndani Rostam Azizi kwa kifungo kirefu, bomoa takukuru, tra na bot. Kwisha habari baada ya mwezi tu asali na maziwa vinaanza kimiminika hapa nchini. Ni suala tu la Mkwere kukubali kuwa safari hii hakuchaguliwa na watanzania. Kama kweli alichaguliwa na Watanzania ni nani aliyempa kura katika umati ule wa watu unaofurika mikutano ya CDM na wote wanasema walipiga kura na hawakumpa mkwere. Nina wasiwasi kuna mamilioni ya kura za watanzania yaliharibiwa ndio maana tunaambiwa wachache walijitokeza.
Mkuu Kasheshe, nakuwa sikuelewi unapommwagia misifa kibao BM, binafsi simfagilii na si kwa sababu ya chuki binafsi, bali kwa makosa mengi aliyoyafanya hasa kwenye PRIVATISATION ya mashirika ya umma! Mengi kama si yote (I stand to be corrected) ya mashirika yamekufa au hayafanyi kazi, kwa maana hiyo kuna idadi kubwa ya waliokuwa wafanyakazi, hawana kazi kwa sasa na kibaya zaidi wengine hata mafao/pensheni. Haya yote yalifanywa na BM akiwa na sera yake ya UWEKEZAJI!
Mpaka sasa hili ndilo nililiong'amua kama ningeambiwa nani wakum-approve kuongoza Tanzania leo ningesema neither one!
Kuna mengi CHADEMA wanayafanya leo bila kutambua wakiwa madarakani watafanyiwa the same... kwa watu wanaongalia mbali kuna mengi wasingefanya kama wanavyofanya leo... Lakini ndio hivyo tena tabia ya opportunist haangalii mbali sana.
Bado namkumbuka Mh. Mkapa alivyofanya kampeni zake 1995 kwa kuhakikisha haahidi asali alafu a-delive maziwa... yeye alihakikisha hai-raise expectation sana... na eventually akawa winner... seen as over delivered, kumbe ni kwa sababu hakuahidi makuu... JK yeye ameahidi nchi ya ahadi na anadeliver kawaida... regardless what hawezi kumfurahisha yeyote sio kwa sababu kwamba kashindwa bali kwa kuwa ameahidi makuu, hili ndio kosa CHADEMA inalorudia na inalofanya leo.
Muigeni Mkapa... think BIG, think STRATEGIC... na angalieni mbali msijione kama chama pinzani wakati wote... wakati mwingine jioneni kama chama tawala... otherwise itakula kwenu big time![/QUOTE]
Kasheshe mbona unaongea kama kada mtiifu wa ccm!!
CCM walitaka kuilazimisha chadema ijione kama chama tawala wakati ukweli uko bayana kwamba chadema ni chama cha upinzani.
CCM walifanikiwa kuwaingiza CUF madarakani kwahiyo huo usemi wa kujiona kama chama tawala una mantiki kubwa sana kwa cuf na si chadema. CUF wanahaki na ndivyo ilivyo kwamba wanajiona kuwa ni chama tawala kwa kuwa wanashiriki kuunda serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar.
Kuhusu suala la kula kwao(chadema) big time, hapo naona ulivaa miwani yenye mchanganyiko wa rangi za kijani/njano, nyeupe/nyekundu/blue kwa uhakika, kwakuwa dalili zote zinaonyesha ni nani itakula kwao big time. Chadema wanazidi kusonga mbele na watanzania wanazidi kuwapokea na kuwakubali.
I'm not confinced kwamba kila mkosoaji mzuri ni mtendaji mzuri... read between lines guys.
Kuna mengine yatang'amuliwa na wale walio kataa kuvaa miwani ya Kijana au ya bluu tu... depending miwani gani umevaa ndivyo utakavyoiona Tanzania! And I can assure you none will be wrong in his/her perspective b'se everything depend anatoa msimamo akiwa amevaa miwani gani?
Best Wishes... Wana JF.
How do you justify this rather loaded statement Bwana Kasheshe?
Dr hivi na elimu yako una amini mgombea urais anasema cement itakua Tsh 5000? Hii ndio moja ya hoja Bwana Kasheshe!
Lakini mengine yote uliyo sema yana mshiko. Kwenye siasa you chose the best of the available options. Kwako wewe which one is the best available option?