mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Kuna tusi gani hapo?!!!Kama kuna njia sahihi ya yeye kuleta habari natumai ingekuwa vyema ungemuelekeza na sio kumtukana mtu.. Kuna njia nyingi za kueleweshana...

Huu ni uzushi mtakatifu
Wacha ubishi wa kijinga,njoo hapa Arusha ujionee mwenyewe!wewe umelogwa kweli
Manispaa ya Arusha si iko "chini" ya CHADEMA? maamuzi kama haya CHADEMA wamehusika 100% , Mungi acha kuleta unafiki wako hapa!
Wakuu,
Kweli sikio la kufa halisikii dawa, huu ni unyama na udikteta wa ajabu kabisa.
Ni kwamba jana usiku migambo wa jiji kwa maelekezo ya DC, RC ambao kimsingi ni makada wa chama cha mapinduzi wamefanya unyama usiofaa kwa jamii baada ya kumfunga mikono na miguu mlinzi anayelinda matunda katika barabara ya serengeti maeneo ya Jacaranda hapa Arusha, na kumpiga na kumtesa vibaya sana, na kumsababishia maumivu na majeraha makali sana.
Baada ya kumfunga mlinzi usiku wa manane na kumpiga, wakaamua kumwaga barabarani matunda yote yaliyokuwa yamehifadhiwa pale. Kama mnavyokumbuka asilimia kubwa ya wateja wa yale matunda ni watalii, wafanyakazi wa jumuiya ya kimataifa kama UN, EAC na wananchi wa kawaida.
Baada ya migambo kufanya unyama huo, leo asubuhi wamama wauza matunda walipofika pale walishtuka sana biashara yao kuharibiwa, kitendo kilichosababisha wamama baadhi yao kuzimia na kupoteza fahamu, na kwa taarifa zisizothibitishwa ni kwamba mama moja amepoteza maisha hospitali ya mount meru.
Kimsingi kazi ya kuweka jiji katika mazingira safi ni jukumu la kila moja katika jiji, lakini lazima tukubaliane kwamba usafi usiozingatia haki, utu na heshima ya binadamu haina maana katika jamii, lazima kuwe na utaratibu unaojenga heshima na utu wa mtu.
Kwakuweka taarifa sawa, kulikuwa na vikao vinavyoendelea leo kwa ajili ya kupunguza idadi ya wafanyabiashara maeneo yale, na kuweza usafi maeneo yale. Kikao cha jana cha baraza la halmashauri kiliazimia kuwa ni kweli wafanyabiashara wa matunda wapunguzwe pale, lakini kwanza patafutwe mahali pa kuwaweka, maana kuwaondoa bila kuwapatia sehemu ya kufanyia biashara yao siyo sahihi. Madiwani wa chadema walipendekeza kwamba baadhi ya wamama wanaofanya biashara Jacaranda wapunguziwe njia ya breweries na wengine ikiwezekana fillips. Madiwani wote wakaazimia kwamba leo watakaa kikao cha kujadili eneo sahihi na rasmi ya kuwapunguza wafanyabiashara hao.
Jambo la kusikitisha ni kwamba hata kabla hawajafikia uamuzi leo, CCM wakishirikiana na DM na RC wakaamua kuwatuma mgambo usiku wa manane na kusababisha unyama huo.
Kwakuwa madiwani wote walikubaliana kukutana leo, kilichoshangaza madiwani wa chadema wakajikuta wamefika kwenye eneo la kikao wenyewe, wa ccm haijulikani kwanini hawakujitokeza, kumbe walishafanya maamuzi yao yasiyo na chembe ya ubinadamu
Hii imetokea baada ya kugundua wale kina mama ni cdm full
Arusha ni yenu na Mulongo kaletwa na ccm. Fanyeni utaratibu wa kinyama alipe roho za wanyonge wa Arusha wanaozidi kuteketea. Mtashindwaje kwa mtu mmoja tu kama mulongo. Kama hawezi ishi Arusha arudi kwao Mara. Fanyeni kweli huyo yupo kuwaharibia mji.
Wakuu,
Kweli sikio la kufa halisikii dawa, huu ni unyama na udikteta wa ajabu kabisa.
Ni kwamba jana usiku migambo wa jiji kwa maelekezo ya DC, RC ambao kimsingi ni makada wa chama cha mapinduzi wamefanya unyama usiofaa kwa jamii baada ya kumfunga mikono na miguu mlinzi anayelinda matunda katika barabara ya serengeti maeneo ya Jacaranda hapa Arusha, na kumpiga na kumtesa vibaya sana, na kumsababishia maumivu na majeraha makali sana.
Baada ya kumfunga mlinzi usiku wa manane na kumpiga, wakaamua kumwaga barabarani matunda yote yaliyokuwa yamehifadhiwa pale. Kama mnavyokumbuka asilimia kubwa ya wateja wa yale matunda ni watalii, wafanyakazi wa jumuiya ya kimataifa kama UN, EAC na wananchi wa kawaida.
Baada ya migambo kufanya unyama huo, leo asubuhi wamama wauza matunda walipofika pale walishtuka sana biashara yao kuharibiwa, kitendo kilichosababisha wamama baadhi yao kuzimia na kupoteza fahamu, na kwa taarifa zisizothibitishwa ni kwamba mama moja amepoteza maisha hospitali ya mount meru.
Kimsingi kazi ya kuweka jiji katika mazingira safi ni jukumu la kila moja katika jiji, lakini lazima tukubaliane kwamba usafi usiozingatia haki, utu na heshima ya binadamu haina maana katika jamii, lazima kuwe na utaratibu unaojenga heshima na utu wa mtu.
Kwakuweka taarifa sawa, kulikuwa na vikao vinavyoendelea leo kwa ajili ya kupunguza idadi ya wafanyabiashara maeneo yale, na kuweza usafi maeneo yale. Kikao cha jana cha baraza la halmashauri kiliazimia kuwa ni kweli wafanyabiashara wa matunda wapunguzwe pale, lakini kwanza patafutwe mahali pa kuwaweka, maana kuwaondoa bila kuwapatia sehemu ya kufanyia biashara yao siyo sahihi. Madiwani wa chadema walipendekeza kwamba baadhi ya wamama wanaofanya biashara Jacaranda wapunguziwe njia ya breweries na wengine ikiwezekana fillips. Madiwani wote wakaazimia kwamba leo watakaa kikao cha kujadili eneo sahihi na rasmi ya kuwapunguza wafanyabiashara hao.
Jambo la kusikitisha ni kwamba hata kabla hawajafikia uamuzi leo, CCM wakishirikiana na DM na RC wakaamua kuwatuma mgambo usiku wa manane na kusababisha unyama huo.
Kwakuwa madiwani wote walikubaliana kukutana leo, kilichoshangaza madiwani wa chadema wakajikuta wamefika kwenye eneo la kikao wenyewe, wa ccm haijulikani kwanini hawakujitokeza, kumbe walishafanya maamuzi yao yasiyo na chembe ya ubinadamu
Mungu amewatia upofu ccm ndiyo maana mnafaya ujinga mwingi

Kwanini ni uzushi ? Maamuzi ni baraza la madiwani ambao wengi ni chadema na mgambo waliofanya ni wa manispaa kinachofanyika ni uzushi tu kwa rc na dc