Prince Tumbo
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 910
- 247
Teh..teh...teh...wameshakwisha, tunasubiri siku, japo wabishi,kwa sasa wamezama kubuni jinsi ya kuiba kura....hapo patachimbika!..wawe wapole mafuriko yanakuja, ukiyazuia unasombwa!...usicheze na mtu aliyedhurumiwa na kunyanyaswa....hatutaki tena hizi mbichi
wow what a good news...kufa tufanye sherehe...kufa hata sasa
Shairi zuri!!
Maisha ni kupokezana vijiti. usihofu mzee, waswahili husema Muosha huoshwa. upande mwingine Masha kidogo azimie lakini hata baada ya kung'atuliwa sa hivi anakula maisha ulaya tu huenda kwa kuwekeza uswis.
ha ha ha ha...haijanipa mke! nilioa mwenyewe. nilipata faida kubwa siku ya ndoa, just because wanaccm walihudhuria wengi..
Hahaahahahaha!ingekuwa imekupa ungekuwa umeoa fisadi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hakuna chama kingine zaidi ya ccm kuitawala tz wengine Woote wachovuu we ukiona wapi chama jina DJ padri muasi gaidi na mbakaji hata watoto wa chei chei hawawezi kichagua ni disaster
Kuna" tathmini" imefanywa na matokeo yanaeleza kuwa CCM itakuwa vigumu kuiangusha kiutawala kwa sababu viongozi na makada walio wengi katika chama hiki kwa sasa ni wale ambao maisha yao yote yanategemea kuipigia debe CCM kama chanzo cha kujipatia kipato...hivyo wakati wowote ule wako tayari "kufanya chochote" kwa yeyote kwa kuhakikisha hiki chama hakin'goki utawalani 2015. Maana Bila CCM kuwa utawalani watu hawa watashidwa kuishi.
Tathmini hiyo ilitoa majina ya baadhi ya viongo
Je. Upo mkakati wa kukabiliana na hawa ?