Pesa? Pesa inaweza ikafanya watu wenye akili timamu kuonekana 'hamnazo' kabisa!
Pesa? Pesa inaweza ikafanya watu wenye akili timamu kuonekana 'hamnazo' kabisa!
Ndio maana mkauza Chadema
Ukiwa na hoja yenye mantiki lete tutaijadili ila sijadili 'umbea'.
Ndio maana mkauza Chadema
Mwenye akili anajua kati yangu mimi na wewe nani ni mfuata Mkumbo.Unaweweseka sana mfuata Mkumbo
hawa ni waska tonge tu hawana jipya
Sera za fujo ni zenu. Wastaarabu hatuna shida na dizeli chafu. Hapo sasa ni Kipigo tu.Namuomba mmoja kati yao nipige t-shet yangu ya Chadema halafu tukatize nae mitaa ya sahara au makoroboi tuone kutatokea nini
Mwenye akili hababaishwi na dizeli chafu.Ndito maana inafanya upost thread na comment za kipumbavu kila wakati kwa 7,000/=Tshs.
Mwenye akili anajua kati yangu mimi na wewe nani ni mfuata Mkumbo.
haya manyani yanajitabua kweli, au mitumbo yao