CCM chama makini lakini kinanitia shaka kubwa

lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,743
1,379
Ndugu wanajamvi nawasalimu.

Nimeanza kuwa na wasiwasi kwa viongozi wengi wanaosimama majukwaani na kutoa lugha za uchonganishi, ugombanishi na zaidi za chuki.

Hili linanitia wasiwasi ikiwa chama cha mapinduzi chama kikongwe kama kina chuja vizuri na kutambua uraia wa viongozi wanao wapa nyadhifa mbalimbali katika chama hicho.

Nimestuka sana kusikia mwenyekiti wa UVCCM kumbe sio mtanzania!.

Je, wangapi wapo na nafasi kubwa tumejiridhisha uraia wao?

Kama huyo haogopi anagombea katikati ya jiji la Dar es Salaam je huko kakonko au mipakani huko si tunaongozwa na watu wasio watanzania?

CCM TUNAOMBA MSITUTIE WASIWASI. Kwa sababu heshima yenu ni kubwa sana . Nchi hii ipo mikononi mwenu kwasababu mmeaminiwa na watanzania. Kamwe tusiruhusu. Wakenya, Waganda, Warwanda Wasomari na Warundi wakawa ndio wameshika vyeo na kuligawa taifa.

Bado natafakari naamini mtafanya uchunguzi kwa viongozi na wabunge wenu ili tuwe na uhakika tunakitawala wenyewe.
 
Je unauhakika yule mwenyekiti wa chama fulani anaetokea mikoa ya magharibi ni mwa Tanzania ni Mtanzania?
 
Hili si jambo la ajabu kwa ccm make hata namba one naye ni mhutu wa Burundi na anapenyeza ndugu zake sehemu nyeti za nchi.
 
CCM ni chama cha kuunga unga...ukitaka kuhakikisha maneno yangu subiria kura za maoni...kuna wana CCM hasa wafia chama watalia na kusaga meno......
 
Huyo bashiru mwenyewe niwa uganda
Ndugu wanajamvi nawasalimu.

Nimeanza kuwa na wasiwasi kwa viongozi wengi wanaosimama majukwaani na kutoa lugha za uchonganishi, ugombanishi na zaidi za chuki.

Hili linanitia wasiwasi ikiwa chama cha mapinduzi chama kikongwe kama kina chuja vizuri na kutambua uraia wa viongozi wanao wapa nyadhifa mbalimbali katika chama hicho.

Nimestuka sana kusikia mwenyekiti wa UVCCM kumbe sio mtanzania!.

Je, wangapi wapo na nafasi kubwa tumejiridhisha uraia wao?

Kama huyo haogopi anagombea katikati ya jiji la Dar es Salaam je huko kakonko au mipakani huko si tunaongozwa na watu wasio watanzania?

CCM TUNAOMBA MSITUTIE WASIWASI. Kwa sababu heshima yenu ni kubwa sana . Nchi hii ipo mikononi mwenu kwasababu mmeaminiwa na watanzania. Kamwe tusiruhusu. Wakenya, Waganda, Warwanda Wasomari na Warundi wakawa ndio wameshika vyeo na kuligawa taifa.

Bado natafakari naamini mtafanya uchunguzi kwa viongozi na wabunge wenu ili tuwe na uhakika tunakitawala wenyewe.
 
Jaji fransis katabazi mutungi sio mtz lakini ndio msajili wa vyama!!kwanini asichomekee watutsi,na wengineo??hata jpm ni mtz?kwa mauaji haya unayoyaona!!!

Mungu wangu hili jambo ni kubwa sana . Before kumpa mtu position huwa hakuna upelelezi makini? THE BREED
 
Back
Top Bottom