CCM chama cha msimu wa uchaguzi tu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM chama cha msimu wa uchaguzi tu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FUSO, May 25, 2011.

 1. F

  FUSO JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  CCM ni chama cha msimu wa uchaguzi tu, hiki chama hakiwajali watu maskini, watu wanaokandamizwa na watu wanaudhurumiwa haki zao. Mtu yeyote anayetokea anamtetea mtu wao wanachukulia ni mambo ya kisiasa na wanatumia nguvu zao za kiutawala kumthibiti.

  Huu nasema ni ujinga mkubwa na wanamdanganya Rais wao wa CCM kwamba nchi haitakaaa salama kama watawatisha wananchi, na kosa kubwa Rais naye anakubali ujinga huu toka kwa washauri wake.

  Namshauri Rais tena kwa mujibu wa tume yake ya uchaguzi ya CCM iliyomuweka madarakani kwamba "MADARAKA YA NCHI HII YAKO MIKONONI MWA WANANCHI WENYEWE," na cheo ni dhamana ndugu Rais Jakaya, Mambo yakiharibika ni wewe utachukuliwa hatua si akina IGP wala mkuu wa police wa wilaya ya Tarime.

  Kumuweka Tissu, Dr. Slaa,. Mbowe ha wengineo ndani ya sero zako hakukuweki wewe salama ndugu yangu, kinachotakiwa ni kujibu hoja za watanzania, hawa kina Slaa wanatuwakilisha tu, ongea na usalama wako wa taifa wakuambie ukweli hata hotuba zako siku hizi hatuzitaki mitaani , sijui huwa wanakwambia au wanakufisha kwamba bado tunakupenda?

  unatakiwa kuwa makini angalia ni nani atakusaidia na yupu hakufai, kumaliza miaka 4 iliyobaki ni kazi kubwa, wananchi wameshakuchoka tena sana mimi nimekuandikia kukwambia ukweli, hali ni mbaya sana.

  CCM chama chako ambacho wewe ndiye Rais wake hakina hoja za msingi za kuwajibu wananchi, sasa umeamua kutumia vyombo vya dola kuwatuliza wananchi, jee hii ni njia halali na inafaa?

  Kumbuka tulipokuwa darasa la Tano somo la siasa uiliambiwa kuwa "SERIKALI NI MAMLAKA YA UMMA KWA MANUFAA YA UMAA" sasa wewe unabadili na kuwa mamlaka ya CCM kwa manufaa ya CCM.

  Kampeni zikianza ndiyo utaona jinsi pesa vinavyomiminika majimboni hapo wanakuja kununua haki kwa wananchi maskini.
   
 2. G

  Good boy Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  4sure mimi cwapendi hawa ccm na huyo raic wao, mungu bariki chadema na watu wake, tuchukue hii nchi 2015 machungu ya watz yapungue tupate faraja yako ee mwenye mungu ckia kilio cha cc wanyonge.
   
 3. b

  binti ashura Senior Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  unataka wafanye nini ccm ikiwa walisha nunua kura watu waliwauzia kura zao!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  usisahau nafasi ya uchakachuaji.ila 2015 sijui! na hivi sheikh keshatangulia mbele za haki!
   
Loading...