CCM chama bora cha siasa duniani

Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau
Umelogwa wewe sio bure!!!
 
Chama cha Mazombi,
Elimu duni kwa watanzania ndio mtaji namba moja kwa ccm kuendelea kuwepo madarakani
 
Wewe nawe, kwa hiyo unataka utufanye sisi kama Libya Eenh!! Acheni kushabikia mambo yasiyo na Tija kwako na Kwa Taifa let la Tanzania. Wewe unadhani akiingia Chadema au upinzani mwingine nchi itabadilika kama unavyodhani? Watanzania sisi sio manyumbu nchi tumkabidhi FISADI kama mnavyotaka. Tumeridhishwa na utendaji wa CCM.
Mjinyonge mnywe šumu tutaongoza Taifa hili kwa Miongo mingi sana.
Endelea kuzungusha mikono hewani. Kuja kutahamaki nchi ina wenyewe Bwana.
NONSENSE
 
Lumumba FC wameamshana usiku kuja kutetea upumbavu wao.

Ukweli ni CCM ya sasa ni chama cha wauwaji na watekaji wa raia wasio na hatia wa nchi hii.

CCM ni chama kinachohatarisha amani ya nchi

Licha ya kuwepo madaraki kwa zaid ya miaka 50, CCM ni chama pekee kulichoshindwa kujibu hoja za wapinzani hadi kufikia kutumia Jeshi la polisi na jeshi la wananchi .

CCM ina laana
 
Back
Top Bottom