CCM chama bora cha siasa duniani

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau
 
Hakika kabisa. CCM hii ya sasa imebadilika na inaendelea kubadilika na kuwa imara kabisa. Wananchi wengi wana imani na CCM ya sasa. Hongera nyingi kwa Mzee wa mabadiliko ya kweli yenye tija kwa taifa letu.
 
Nakubaliana na wewe kwa sababu,

1. Ni CCM ndio ambayo, miongoni mwa marais iliowahi kuwatoa, ukiacha Nyerere, wengine wote wana tuhuma za wizi, ufisadi na kila aina ya uovu.

2. Ndio jumuiya pekee ambayo ndio chaka kuu la mafisadi nchini.

3. Ndiyo chama pekee ambayo kikubwa ilichoweza ni kuifanya nchi kuendelea na kuwa na matatizo ya kipumbavu kabisa kama vile ukosefu wa maji safi na salama hata baada ya kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50

4. Ni chama pekee amabacho, hata baada ya kuongoza nchi kwa zaidi ya miaka 50, bado tegemeo kubwa la wananchi ni vijizahanati vizivyo na vitendea kazi na shule za kata zenye uhaba mkubwa wa walimu

5. Ni chama pekee ambacho kimefanikiwa kuwa na sera zilizowezesha kutoa elimu iliyofanya Tanzania iwe na largest population ya watu wenye uelewa mdogo zaidi na ndio maana haishangazi kuwaona wakiishangilia serikali huku wenyewe wakiwa hawana mbele wala nyuma!
 
Mna jivunia chama cha ujanja ujanja wenzenu wanarusha satelite miccm mjinga sana. Chaguzi zenyewe za wizi wizi wa kupora haki za watu
 
Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau

Na kubaliana nawe %,ni Chama ambacho ukisoma machapisho yake hutokuwa na shaka nacho! Tatizo liko kwa watendaji kiutekelezaji!!!
Maana yanatekelezwa yasiyokuwemo kwenye maandishi yao!
 
Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau

Labda chama bora kwa kuiba Kura hususan Kule Zanzibar. Hizo sifa zote sana ulizozitaja hazina uhalisia ( too abstract ). Angalia Zanzibar , kwa mfano, ubora wa CCM/ SMT unaonekana zaidi ktk kufuta matokeo ya uchanguzi, kuiba kura, kutumia JWTZ na polisi kuwatisha wananchi na viongozi wa ZEC ili wasimpe ushindi Maalim Seif kwa sababu maalim ni mwiba wa mchongoma kwa CCM. Tokea kuanza kwa mfumo wa vyama vingi Taznania , CCM Zanzibar hakijawahi kushinda ktk uchaguzi( ukiacha kiinimacho kinachofanywa na ZEC) na wala itafika mwsiho wa dunia haitashinda ikiwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki kule znz.
Point yako N0. 2 demokrasia ailiyotukuka, yakhe huoni haya kumdanganya mtu mzima ? labda ungemdanganya malaya ndo angekuamini baada ya kumgegeda. Ni nani asiyejua kuwa Tz hakuna demokrasia? angalia mkuu wa kaya anavyobinya democratic space kwa kuzuia vyama vyama vya siasa visifanye mikutano, kuwaweka ndani wapinzani, kuminya uhuru wa vyombo vya habari eta al. Labda ningeamini urojo / ouza wako kama CCM kingekuwa chama bora duniani ktk kuteka watu, kupiga watu risasi, kupoteza wananchi 380 kule MKWIRU nk hapo ningekuamini.

Karibu.
 
Upuuzi huu. Chama kisichokubali maoni ya wengi kuhusu katiba mpya na chenye viongozi wanaokiri kwamba lazima washinde hata kwa goli la mkono kitakuwaje chama bora?

Kipimo kipi cha ubora kinatumika hapa?
 
Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau
Really,wewe ni comedian
 
Kununua wapinzani uchwara,kuteka na kuua wapinzani, kula hela za rambi rambi,kuchakachua matokeo ya chaguzi mbali mbali,kutumia vyombo vya dola kukandandamiza wapinzani. Sifa za CCM ni nyingi sana.
 
Back
Top Bottom