CCM chama bora cha siasa duniani

CCM chama bora cha siasa duniani

2. Demokrasia iliyotukuka

kwa kuwapiga na kuuwa wapinzani katika uchaguzi mdogo wa siha na kinondoni..nakumbuka tulimpoteza akwilina

3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.

hakika kwa kuwaambia ndugu zetu wa BUKOBA KUWA SERIKALI HAINA SHAMBA..na kuwaambia kuwa wanapenda sana KATERERO

4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge

kwa kuwabomolea ndugu zetu wa kimara huku kukiwa na stop order ya mahakama

7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.

amani ya kuokota miili ya watu kwenye sandarusi pamoja na vifo kama vya kina sogota..usisahau kutekwa kwa watu kama roma na beni saanane na shambulio la tundu lisu

Asante sana sisiemu
 
Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau

Kumbe wewe ndo umekitaja na hizi ni points zako ndomana umesahau nyingine,basi CCM wenzio watakusaidia.
 
Chama cha wasiojulikana, wenye roho mbaya, uwongo na wapenda sifa.

Tuachieni uhuru wa sanduku la kura ihesabiwe kihalali muone kama mtakaa mkisikie katika ramani ya Dunia hata huko mbinguni mnakosema mtaenda kusimamia.
 
Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau
Hakuna chama kinachoamini kupingana kwa hoja ni uadui kikawa chama bora kamwe

Lissu leo anauguza majeraha ya risasi sababu ya ccm kuwajengea wafuasi wake kuwa kupingana na rais wa nchi kimtazamo ni uasi

Watu wanauawa kikatili na vyombo vya dola (polisi) sababu ya ccm kuwaelekeza wafanye watakavyo na wataungwa mkono na rais

Ccm ni moja ya vyama vya siasa katili kabisa duniani kisichoamini kutofautiana kwa fikra, ccm haina tofauti na magenge ya kiharifu dhidi ya binadamu
 
Nakubaliana na wewe kwa sababu,

1. Ni CCM ndio ambayo, miongoni mwa marais iliowahi kuwatoa, ukiacha Nyerere, wengine wote wana tuhuma za wizi, ufisadi na kila aina ya uovu.

2. Ndio jumuiya pekee ambayo ndio chaka kuu la mafisadi nchini.

3. Ndiyo chama pekee ambayo kikubwa ilichoweza ni kuifanya nchi kuendelea na kuwa na matatizo ya kipumbavu kabisa kama vile ukosefu wa maji safi na salama hata baada ya kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50

4. Ni chama pekee amabacho, hata baada ya kuongoza nchi kwa zaidi ya miaka 50, bado tegemeo kubwa la wananchi ni vijizahanati vizivyo na vitendea kazi na shule za kata zenye uhaba mkubwa wa walimu

5. Ni chama pekee ambacho kimefanikiwa kuwa na sera zilizowezesha kutoa elimu iliyofanya Tanzania iwe na largest population ya watu wenye uelewa mdogo zaidi na ndio maana haishangazi kuwaona wakiishangilia serikali huku wenyewe wakiwa hawana mbele wala nyuma!

Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na: Atutajie chama pinzani nchini China ili alinganishe na hicho cha kikomnist.
Ukombozi wa Afrika haukupiganiwa na CCM bali TANU ambayo waasisi wake wengine wamefariki hawapo tena CCM baada ya kuone ndivyo sivyo. Asilinganishe Tanu na CCM havina chochote vinachofanana kwa sasa.
 
Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau

Ndivyo ulivyotumwa na Lumumba? Wamekulipa buku ngapi maana wana trillion 1.5 !!!
 
Chama cha mafisadi, kuanzia mwenyekiti mpaka mwanachama wa kawaida wote ni wezi wa mali za umma.
 
Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau
Mimba changa, ikikomaa utajua hawa ni wezi sugu
 
Sawa sasa kwanin % ya mafukara kwa hio miaka 50 inazidi tuu hivi ni kweli mnajali hali za hivyo vijiji ambapo mna matawi kila kona, je ratio ya daktari mmoja kwa kijiji na wananchi wa kuhudumiwa ikoje, je ratio ya mAji safi ikoje, je mkulima kwa hii miaka 50 vipi tunampango gani nae
 
Nakubaliana na wewe kwa sababu,

1. Ni CCM ndio ambayo, miongoni mwa marais iliowahi kuwatoa, ukiacha Nyerere, wengine wote wana tuhuma za wizi, ufisadi na kila aina ya uovu.

2. Ndio jumuiya pekee ambayo ndio chaka kuu la mafisadi nchini.

3. Ndiyo chama pekee ambayo kikubwa ilichoweza ni kuifanya nchi kuendelea na kuwa na matatizo ya kipumbavu kabisa kama vile ukosefu wa maji safi na salama hata baada ya kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50

4. Ni chama pekee amabacho, hata baada ya kuongoza nchi kwa zaidi ya miaka 50, bado tegemeo kubwa la wananchi ni vijizahanati vizivyo na vitendea kazi na shule za kata zenye uhaba mkubwa wa walimu

5. Ni chama pekee ambacho kimefanikiwa kuwa na sera zilizowezesha kutoa elimu iliyofanya Tanzania iwe na largest population ya watu wenye uelewa mdogo zaidi na ndio maana haishangazi kuwaona wakiishangilia serikali huku wenyewe wakiwa hawana mbele wala nyuma!
Wewe nawe, kwa hiyo unataka utufanye sisi kama Libya Eenh!! Acheni kushabikia mambo yasiyo na Tija kwako na Kwa Taifa let la Tanzania. Wewe unadhani akiingia Chadema au upinzani mwingine nchi itabadilika kama unavyodhani? Watanzania sisi sio manyumbu nchi tumkabidhi FISADI kama mnavyotaka. Tumeridhishwa na utendaji wa CCM.
Mjinyonge mnywe šumu tutaongoza Taifa hili kwa Miongo mingi sana.
Endelea kuzungusha mikono hewani. Kuja kutahamaki nchi ina wenyewe Bwana.
 
Attachments

  • Utapeli wa CHADEMA.jpg
    Utapeli wa CHADEMA.jpg
    54.5 KB · Views: 31
Wadau
Chama Cha Mapinduzi Kimetajwa kuwa miongozi mwavyama Bora vya Siasa Duniani ukiondoka Chama Tawala China. Sababu ya Chama hicho kutajwa kuwa Chama bora ni pamoja na:
1. Mfumo bora wa kurithishana Mafaraka( Succession Plan)
2. Demokrasia iliyotukuka
3. Kuwa Karibu sana na Wananchi hasa Maskini.
4. Sera imara zenye kutetea Wanyonge
5. Kusimamia ipasavyo Harakati za Ukombozi Duniani ikiwemo Nchi za Kusini Mwa Afrika.
6. Chama pekee chenye matawi kila Kijiji Nchini.
7. Kusimamia Amani, Umoja na Mshikamano Ipsavyo.
Ahsanteni
Waweza ongezea mengine mazuri Kama nimesahau
chama bora cha siasa kinachotegemea polisi ili kushindana na washindani wake... kama kweli ni chama bora na kina kubalika tuleteni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi jamani tuone namna chama chetu kinavyokubalika.
 
Back
Top Bottom