Umeleta habari kicdm cdm,halafu source ni wewe.usiwe na wasiwasi,watakuja wenzako kushabikia humu.
Hata zomba hajapata hela zake za kupost thread na kuitetea ccm sasa mwezi wa tatuUmeleta habari kicdm cdm,halafu source ni wewe.usiwe na wasiwasi,watakuja wenzako kushabikia humu.
Habari nilizozipa sasa
ni kuwa makao mkuu madogo ya CCM
Lumumba, wafanyakazi wake hawajalipwa posho na mishahara
yao ya miez kibao na ndio sababu
ya siri nyingi za chama na serikali upatikana kama vitumbua.... kwa hasira.
Nape/Mwigulu lipeni pesa wafanyakazi
mnatesa familia zao...au achane hivyo
hivyo tuwapakue zaidi
SOURCE: mfanyakazi alionipakulia
mambo mengi na mazito.
V
SENGEREMA.
Umeleta habari kicdm cdm,halafu source ni wewe.usiwe na wasiwasi,watakuja wenzako kushabikia humu.
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....
Habari nilizozipa sasa
ni kuwa makao mkuu madogo ya CCM
Lumumba, wafanyakazi wake hawajalipwa posho na mishahara
yao ya miez kibao na ndio sababu
ya siri nyingi za chama na serikali upatikana kama vitumbua.... kwa hasira.
Nape/Mwigulu lipeni pesa wafanyakazi
mnatesa familia zao...au achane hivyo
hivyo tuwapakue zaidi
SOURCE: mfanyakazi alionipakulia
mambo mengi na mazito.
V
SENGEREMA.
huu mwaka mnalo kaka,Mtu anapokosa kazi anakuwa na muwasho wa ajabu kila sehemu ya mwili wake.uzi huu umepostiwa na mtu mwenye muwasho sehemu kadhaa za mwili wake.
peke yake E.L. na mtoto wake Fredrick wanazo 450,000,000.00 ambayo ni zaidi ya hizo walizochanga M4C na huo ni mgawo tu wa kampuni la Intergratedkatika mazingira ya demokrasia wanaruhusiwa kukopa hela za M4C
SOURCE: mfanyakazi aliyenipakulia
mambo mengi na mazito
Naisi linakuhusu hili
nawewe ujalipwa bado
kama wa mishahara bado
mpaka wa mitandaoni itakua
hivyohivyo..... haki ya mungu
huu ni ukweli na mpaka
sasa kuna makumpuni
kibao yanawadai n.k nanina
document ninazo kesho nitazi scan
nizitupie hapa....
Kwani mimi
ni mtanzania niliyie
hesabiwa sensa.
V
SENGEREMA
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....