Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Hii ni kwa mujibu wa Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi ambaye ametangaza kuwa vyama vyote vya siasa vitafanya mkutano wa hadhara mjini Arusha kwa ajili ya kuzika rasmi uhasama wa kisiasa mkoani humo.
Mkutano utafanyika katika uwanja wa sheigh Amri Abeid ambapo viongozi wa vyama wa mikoa ndio pekee watakaoruhusiwa kuvaa sare za vyama vyao.

A very good question.Chadema ipi itashiriki katika huo mkutano?
Chadema family au chadema asilia?
Maridhiano gani? Tunahitaji kusikia uchaguzi wa Meya umefanyika na vyama byote vimeshiriki kama ulivyo kuwa wa naubu meya na si vinginevyo,Hii ni kwa mujibu wa Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi ambaye ametangaza kuwa vyama vyote vya siasa vitafanya mkutano wa hadhara mjini Arusha kwa ajili ya kuzika rasmi uhasama wa kisiasa mkoani humo.
Mkutano utafanyika katika uwanja wa sheigh Amri Abeid ambapo viongozi wa vyama wa mikoa ndio pekee watakaoruhusiwa kuvaa sare za vyama vyao.
Chadema hatushiriki kujisaliti...
Sijui kama ni rahisi kiasi hicho jambo kama hilo kutokea kwa Arusha hasa hao wauaji ccm wapande jukwaa moja na Chadema? Sijui... Lakini kwa cuf na tlp sioni ukakasi wowote kwakuwa tayari wanashirikiana katika maeneo mengine.
Hii ni mbinu nyuma ya pazia kwa ccm kujiosha Arusha na Tz kwaujumla, na chadema isipo play smart itakua vice versa kwao..
Maridhiano gani? Tunahitaji kusikia uchaguzi wa Meya umefanyika na vyama byote vimeshiriki kama ulivyo kuwa wa naubu meya na si vinginevyo,
...
...hakuna ccm Arusha!!!
mbinu butu hii.. bado sn wajipange upyaChadema hatushiriki kujisaliti...