mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
- Thread starter
-
- #41
watokomezwewapigwe tu
Haiwezekanai chama chetu kikongwe kikose mwakilishi,Chama kati ya vyama vichache vilivyo baki katika tawala Afrika!Tyson uko wapi???? "Mzee wa MUONGOZO" kutoka Jimbo la Isman katafunua ahirisha uchaguzi mpaka tutakapopata Mgombea!
nakubaliana na wewemwamko wa wanabunda ni mkubwa.kwanza wana hasira sana na ccm kutokana name mchezo mchafu waliochezewa 2010.ccm subiri kibano tu.this time mpaka mtembelee magoti.
ipo siku watakosa mgmbea urais, niamini tu kwa hili, ipo siku
Katika uchaguzi wa marudio kata Nyasura Wilaya ya Bunda Chama cha Mapinduzi kilimteua mgombea wake aitwaye CHINGA na baadae kujitoa na Kikamuomba Mfanya biashara maarufu mjini hapa aitwaye Kweka kusimama,taarifa Rasmi nilizozipata Kweka amejiondoa usiku wa kuamkia Leo na CCM wana haha kupata mtu mwingine
Kweka tena imekuwaje ? Huyu si mtu wa Kilimanjaro inakuwaje CCM wanawapinga watu wa Kilimanjaro kwenye vyama vya Siasa lakini wao wanawatumia ?Ukabila , Udini na Ukanda wanao lia nao vipi ?
CCM haiwezi kukosa mgombea hata siku moja
CCM haiwezi kukosa mgombea hata siku moja
Iyo ni rule no.1 CCM haiwezi kukosa mgombea hata siku moja
rule no.2 CCM ikikosa mgombea, refer to rule no.1
rule no.3 ....rule no.1 and no.2 operate distinctively,if contradiction persists rule no.2 shall always prevail.
Kweli kabisa Ccm wasivyoipenda Chadema inaweza kumpendekeza hata shetani ili mradi tu Chadema isipite bila kupingwa.CCM haiwezi kukosa mgombea hata siku moja
Kweli kabisa Ccm wasivyoipenda Chadema inaweza kumpendekeza hata shetani ili mradi tu Chadema isipite bila kupingwa.