Ikafie mbeleccm ndo inakufa ujue hivyo, achen masihala.
Namis sana msosi wa A&B hotel, mtaa wa bank!
Nyie vijana nyamafu zenu hivi hili suala mnajadili kujifurahisha au mnalijua?
Nadhani gongo ndio inayoongea na sio utafiti.
Subilieni aibu yenu siku ya matokeo.
CCM haiwezi kulinganishwa na chama cha wahuni.

Gaspa Kileo ndio ametumwa toka Shinyanga kwenda kumbembeleza Kweka? Kweli CCM wana kazi, Mzee wa Gombe njama zake za kuua CDM zimebuma vibaya sana
ccm ndo inakufa ujue hivyo, achen masihala.
Gaspa Kileo ndio ametumwa toka Shinyanga kwenda kumbembeleza Kweka? Kweli CCM wana kazi, Mzee wa Gombe njama zake za kuua CDM zimebuma vibaya sana
Huyo kileo asitutanie, anaenda kutafuta nini wakati ccm hawaishi kuwatukana wachaga kila siku na sisi ni miongoni mwa watu ambao si wachaga lakini tunakerwa na ujinga huu wa ccm , yaani yeye matusi kwa wachaga hayamkeri?
Ngoja Wassira awaonyeshe kwamba ngoma ya watoto haikeshi na mkutano wa wanywa gongo hauna madhara maana hawajitambui.Mungu hamfichi mnafiki tena ngoma ipo jimboni mwa mtukanaji
Mimi namiss sana mchemsho wa Kuku pale Pensheni na bia za mtaa wa Benki
Nitaenda bunda siku ya Chadema ikipita bila kupingwa