CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,667
2,000
Katika uchaguzi wa marudio kata Nyasura Wilaya ya Bunda Chama cha Mapinduzi kilimteua mgombea wake aitwaye CHINGA na baadae kujitoa na Kikamuomba Mfanya biashara maarufu mjini hapa aitwaye Kweka kusimama,taarifa Rasmi nilizozipata Kweka amejiondoa usiku wa kuamkia Leo na CCM wana haha kupata mtu mwingine
UPDATE:Kamati ya Siasa ya Mkoa imekaa mjini Bunda akiwemo Mkuu wa Mkoa,Mwenyekiti wa CCM mkoa na wajumbe ili kutafakari jinsi ya kunusuru Aibu iliyo mbele yao Maana Form zinaanza kutolewa Tarehe mbili.. Jopo la Wafanya Biashara wa Mara wenye asili ya Kichagga wamemkataza Kweka kuingia kwenye Siasa za CCM kwa kuwa Mbunge wa Bunda amekuwa akisema CHADEMA ni chama cha Wachaga,Mjumbe wa NEC shinyanga mjini ambae ni Mchaga ametumwa kuja Bunda Kuongea na Umoja wa Wachaga Bunda kuinusuru Hali na kuokoa CHAMA
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,519
2,000
CHADEMA itapita bila kupingwa, na usisahau kuja kutupa matokeo.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,615
2,000
Katika uchaguzi wa marudio kata Nyasura Wilaya ya Bunda Chama cha Mapinduzi kilimteua mgombea wake aitwaye CHINGA na baadae kujitoa na Kikamuomba Mfanya biashara maarufu mjini hapa aitwaye Kweka kusimama,taarifa Rasmi nilizozipata Kweka amejiondoa usiku wa kuamkia Leo na CCM wana haha kupata mtu mwingine

huyu Kweka kwani siyo mchaga,
kuanzia sasa ccm waujue ubaya wa kuwaaminisha watanzania maneno yao kuwa CHADEMA ni chama cha wachaga.

Na mimi ningekuwa Kweka ningekataa kugombana na ndugu zangu kupitia dhana ya ccm.
 
ferre.g

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
2,217
1,195
Huyu ni mchaga kweka.... tatizo la ccm ni kutukana wachaga... sasa ngoja wakione cha mtema kuni.

Ushauri wangu wamfuate zitto kabwe agombee huko si ni mamluki wao.

Oohh cdm itakufa jamani..
Wasira uko wapi jimbo lako lakosa mgombea.... kenge wewe
 
chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,295
2,000
Nape atakuja kukanusha afu baada ya hapo watatafuta mgombea watakayemlipa mamilioni then atapigwa chini
 
chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,295
2,000
Huyu ni mchaga kweka.... tatizo la ccm ni kutukana wachaga... sasa ngoja wakione cha mtema kuni.

Ushauri wangu wamfuate zitto kabwe agombee huko si ni mamluki wao.

Oohh cdm itakufa jamani..
Wasira uko wapi jimbo lako lakosa mgombea.... kenge wewe

Ha ha ha watu bwana eti Kenge wewe nimecheka sana jamani.Watu bwanaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
 
nyabhera

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
625
1,000
KWA taarifa zaidi CCM yote Bunda wanamuuogopa Mgombea wa CHADEMA bw MAgambo
 
Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,321
0
Upo tej...a asubuhi asubuhi, kale kademu ka Criff Jack mbona hamwendi kukakomboa ila Mkuu mnapoteza vijana sio poa kabisa

hiyo ni kazi ya "popo"samahani j.k mwambieni akamkomboe kama alivyomkomboa mwanae "riziwani"

wabunge watatu wa ccm wauza "sembe" wajisalimisha
hahahahahahahaha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom