CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

kuwa mwachadema raha sana. naona wanaogopa ya MABINA. Bastola ilichemka kwenye ngu ya umma.
 
Juzi Dr.Alex msukule wa Zitto kapata kichapo Dar na waha wenzake kisa kaeneza ukabila,

Na hawa CCM huko Bunda wameshaanza kuipata habari yao.

Mpaka kieleweke.
 
Kwa Bunda ninayoifahamu ni kweli magamba hayawezi kupata mgombea,wengi wanaogopa kichapo! CDM inatisha sana ukanda huo.
 
Huyu ni mchaga kweka.... tatizo la ccm ni kutukana wachaga... sasa ngoja wakione cha mtema kuni.


Ushauri wangu wamfuate zitto kabwe agombee huko si ni mamluki wao.


Oohh cdm itakufa jamani..
Wasira uko wapi jimbo lako lakosa mgombea.... kenge wewe

Loooo mbavu zangu weeee....Kenge wa wapi ziwa victoria au pale magogoni?
 
Ningekuwa karibu ningejipendekeza nile pesa zao then nijitoe siku ya uchaguzi. CCM hawana huruma na wananchi wa Tanzania na wala hawajali.


Unafikiri Mkuu hawataliwa? Wataliwa tu!
Kuna kauli mbiu iko hv "Kula chichiem usingizi pozi CHADEMA"
 
hata mimi nilikuwa eneo la ccm nyasura nilimwona mwwenyekiti wa ccm mkoa akiwa kwenye ofisi kujadili kile kinachoendelea. ila kilichopelekea kuenguliwa kwa CHINGA ni kwamba alishidwa kuandika twenty two (22) alipoulizwa hilo. huyo ndo mchumi wa ccm wa wilaya anayeshindwa kuandika 22 kwa lugha ya malkia.
 
hata mimi nilikuwa eneo la ccm nyasura nilimwona mwwenyekiti wa ccm mkoa akiwa kwenye ofisi kujadili kile kinachoendelea. ila kilichopelekea kuenguliwa kwa CHINGA ni kwamba alishidwa kuandika twenty two (22) alipoulizwa hilo. huyo ndo mchumi wa ccm wa wilaya anayeshindwa kuandika 22 kwa lugha ya malkia.
 
Uzi huu lumumba 7kipato wanapita kama chumba cha mkwe
 
Duh mpaka muda huu nape hajakanusha, kweli Ccm wameshikwa pabaya....,
 
Asanteni wana Bunda kwa kuonesha uzalendo..............

hii hali ya kukosa mgombea ni mbaya sana. Mwaka jana kata ya lizaboni songea mjini ccm walikosa mgombea makini, inasemekana watu makini walikataa aibu kwa kuwa dalili zionyesha mapema vijana kuungwa mkono wa kinamama wengi. Wakamteua shwahiba wangu ambaye naye vijana walimuomba kwa nia njema ajitoe, yeye akakomaa, mwishowe akashindwa kwa kura nyingi.
 
Back
Top Bottom