CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

Naskia CHADEMA wanalo jembe;Jana kamati ya siasa ya mkoa iliwaita Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya Zote kuja mjini Bunda ili kupeana maelekezo namna ya kufanya maana tangu awali hakuna uwezekano wowote wa Kushinda ukizingatia kuna baadhi ya wana Bunda waliguswa na Operation Tokomeza
 
mwamko wa wanabunda ni mkubwa.kwanza wana hasira sana na ccm kutokana name mchezo mchafu waliochezewa 2010.ccm subiri kibano tu.this time mpaka mtembelee magoti.
 
Haiwezekanai chama chetu kikongwe kikose mwakilishi,Chama kati ya vyama vichache vilivyo baki katika tawala Afrika!Tyson uko wapi???? "Mzee wa MUONGOZO" kutoka Jimbo la Isman katafunua ahirisha uchaguzi mpaka tutakapopata Mgombea!
 
Thubuutu

nakubaliana na wewe
 
Katika uchaguzi wa marudio kata Nyasura Wilaya ya Bunda Chama cha Mapinduzi kilimteua mgombea wake aitwaye CHINGA na baadae kujitoa na Kikamuomba Mfanya biashara maarufu mjini hapa aitwaye Kweka kusimama,taarifa Rasmi nilizozipata Kweka amejiondoa usiku wa kuamkia Leo na CCM wana haha kupata mtu mwingine

Kweka tena imekuwaje ? Huyu si mtu wa Kilimanjaro inakuwaje CCM wanawapinga watu wa Kilimanjaro kwenye vyama vya Siasa lakini wao wanawatumia ?Ukabila , Udini na Ukanda wanao lia nao vipi ?
 
Walimpa Kweka kwa kuwa walijua ana hela atakuwa chuma ulete mangi akastuka
Kweka tena imekuwaje ? Huyu si mtu wa Kilimanjaro inakuwaje CCM wanawapinga watu wa Kilimanjaro kwenye vyama vya Siasa lakini wao wanawatumia ?Ukabila , Udini na Ukanda wanao lia nao vipi ?
 
CCM haiwezi kukosa mgombea hata siku moja

Iyo ni rule no.1 CCM haiwezi kukosa mgombea hata siku moja

rule no.2 CCM ikikosa mgombea, refer to rule no.1

rule no.3 ....rule no.1 and no.2 operate distinctively,if contradiction persists rule no.2 shall always prevail.
 
DahCcm zamani ilikuwa inafuma sana kweli Lila kitu kina mwisho Leo wakose mtu balaa hilo
 
Mgombea wa CHADEMA ni MAGAMBO WASSIRA haya we taja wa CCM
Iyo ni rule no.1 CCM haiwezi kukosa mgombea hata siku moja

rule no.2 CCM ikikosa mgombea, refer to rule no.1

rule no.3 ....rule no.1 and no.2 operate distinctively,if contradiction persists rule no.2 shall always prevail.
 
Sasa magamba watambue ni ujinga kufikiri Mamluki Zito ndiyo alfa na omega.Kila kona ya nchi sasa hivi wana mangwa tu.Huko Makete porini walipigwa chini vijiji viwili vyote vilienda cdm waka ambulia patupu.Huko yuko Zito? Ni ujinga kumtegemea Zito wakati cdm Wamegawa kanda zina fanya kazi day to day hata Mbowe na Slaa wakilala.Ushauri wangu Kwa Slaa na Mbowe Ziimarisheni Kanda hizo
 
Naskia jana baada ya Kura za Maoni CHADEMA kulikuwa na maandamano ya kufa mtu ya kumpeleka Mgombea Nyumbani,hiyo ndo imewatibua kabisa Magamba na Kweka kuamua kujitoa
 
Back
Top Bottom