Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,841
- 132,082
Naunga mkono hojaAfrika tulipewa uhuru wa jujifariji tu siyo kujiongoza.
P
Naunga mkono hojaAfrika tulipewa uhuru wa jujifariji tu siyo kujiongoza.
Hii inchi ngumu sana.Naunga mkono hoja
P
Tufanye nini kukomesha hili?Afrika tulipewa uhuru wa kujifariji tu siyo kujiongoza.
Ndio maana kucha kutwa kumlalamikia Nyerere??Afrika tulipewa uhuru wa kujifariji tu siyo kujiongoza.
Siasa za propaganda hazifai wala hazitakiwi hata kuenezwa na yeyote.Namkubali sana KM Daniel Chongolo. Anafanya vema kwenye nafasi yake kama mtendaji mkuu wa chama.
Hana mbwembwe na anajua mipaka yake. Kazi za kueneza siasa na propaganda sio jukumu lake.
Naunga mkono hoja aidha niweke wazi pia hata Gigy money hiyo nafasi ni kubwa sana kwake hana maono, hana mikakati wala dira yupo yupo tu, nadhani pia tathmini ndani ya chama inahitajika kama kuna upenyo 2025 yafanyike mafekeche aje kiongozi sio modelKatibu mkuu wa Sasa haendani na Kasi ya sasa na ninaona Kama Kazi ya ukatibu mkuu imemshinda na ujio wa Makonda umemfunika vibaya sana.
Nafikiri sasa Ni wakati wa kumpa nafasi mtu kama Polepole " HP " wapige kazi na Paulo Makonda " PM" ,pata picha hiyo wale mawziri mizigo wataacha kazi wenyewe watakimbia show za hao mabwana .Na vilevile wale wahuni na janja janja watatafuta chaka la kujifichia manake itakuwa ni show show tu
Kazi ya chama itakwenda vzr sana na chama kitakuwa maarufu kuliko chama chochote Hapa Tanzania
Chongolo atafutiwe kazi zingine za kufanya manake Yuko Yuko tu hajui ashike lipi aache lipi ",his not fit for these positions"
Kwa Sasa safarini kuelekea
Mabibo dsm
Ndug mteja tunaomba namba yako na mahali ulipo kwa utatuz zaidi tafadhaliOndoeni mwenyekiti mdiye amepooza kama mlenda