dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,751
- 18,766
Katibu mkuu wa Sasa haendani na Kasi ya sasa na ninaona Kama Kazi ya ukatibu mkuu imemshinda na ujio wa Makonda umemfunika vibaya sana.
Nafikiri sasa Ni wakati wa kumpa nafasi mtu kama Polepole " HP " wapige kazi na Paulo Makonda " PM" ,pata picha hiyo wale mawziri mizigo wataacha kazi wenyewe watakimbia show za hao mabwana .Na vilevile wale wahuni na janja janja watatafuta chaka la kujifichia manake itakuwa ni show show tu
Kazi ya chama itakwenda vzr sana na chama kitakuwa maarufu kuliko chama chochote Hapa Tanzania
Chongolo atafutiwe kazi zingine za kufanya manake Yuko Yuko tu hajui ashike lipi aache lipi ",his not fit for these positions"
Kwa Sasa safarini kuelekea
Mabibo dsm