Elections 2010 CCM at it AGAIN. SMS zishaanza upyaa!!

Saa hii nimepata ujumbe toka namba 25565906805 unaosema

CHADEMA WAMETEKELEZA AHADI YA KUMWAGA DAMU , JUZI WAMEMUUWA NDUGU WA MGOMBEA WA CCM MASWA . MJUMBE WA KAMPENI WA SLAA AMEKAMATWA
TUWAKATAE CHADEMA WAMWAGAJI DAMU .

Ndugu yangu ukipata ujumbe kama huu usisambaze kwa wenzako au kwa mtu wowote kusambaza ni kosa na utaweza kushitakiwa kwa kutumia kifaa chako cha mawasiliano kwa ajili ya kutuma taarifa za uchochezi au za uchonganishi katika jamii

Tuzidi kufanya kampeni kwa amani , upendo na utulivu hata katika kupiga kura tutumie nafasi hiyo kwa amani na upendo pia .
 
inaweza ikawa sio tatizo la kampuni ya simu hapo, kuna makampuni mengine yanayohusika na gateway na hizi service kama za promotions ambao wanaweza kutumia mamlaka yao viaya kutenda hilo
tupo pamoja mkuu.
tuwatafute hao tuwaanike hapa na tuangalie sheria zainasemaje?
wanaposema tuwakatae chadema ina maana tumpe nani kura??? au kuna watchdog wanaoangalia kila move ya CHADEMA na kuangalia uhalali wake? kama ndivyo hawa wanamilikiwa na nani? wapo wapi? wametuma from server ipi?

naomba ile link ya kufuatilia source za sender niweze kuisaka hii namba
 
SHY tusaidiane kusaka chanzo cha server ya hii sms. mimi nimeipata. wewe ni watatu kuripoti hapa. na ktk zoote kuna tarakimu moja inakosekana kwenye namba. namba ni tofauti.
Tusaidiane mkuu kusaka chanzo na kuharibu mazalia ya malaria
 
Hawa ni wajinga na chakushangaza TCRA hawatasema lolote, kwani humu ndani JF hatuna wataalamu na sisi tukawakamata na kufanya mambo kama ya " wikileaks"?
 
Saa hii nimepata ujumbe toka namba +255 659 068 05 au +255 65 906 805

.

Hii number huwezi piga wala reply text.

Hiyo country code ni Tanzania lakini jamaa wametumia less one digit, wanaweka 0 then 4 digits, TCRA wanaweza kutrack down chanzo cha hii text message bila wasiwasi.
 
Nimepata ujumbe hivi punde, naamini unatoka CCM, unasema:

"CHADEMA wametekeleza ahadi ya kumwaga damu. Juzi wamemuua ndugu wa mgombea wa CCM Maswa. Mjumbe wa kampleni ya SLAA amekamatwa. Tuwakatae CHADEMA wamwagaji Damu."

My take: hii ni njama makusudi ya kupotosha ukweli, na baada ya kutumi international code ya nchi nyingine, sasa wanatumi ya Tanzania (255-7-701788) ila huwezi kujua ni ya mtandao upi... hivi kweli ninaweza kupokea SMS bila Tigo, Zantel, Zain au Vodacom kutambua imetoka wapi? Kama haukidhi vigezo vya kiufundi, si utakataliwa na mitambo? Naamini namba inayotumika hapo ni changa la macho, kuficha chanzo halisi ambacho mamlaka inatambua, na kufumbia macho.

Politics of desperation!
 
078-049550....tulipoona msg kutoka namba hii tulimpa mtaalam fulani wa 'telecommunication engineering akafuatilia na akatupa mwanga kidogo, kwamba Kuna mtu anaitwa Z. Mrisho amesajiliwa, mkazi wa mabibo Dar es Salaam kwa moja ya namba za Zain, bado tunafuatilia tujue ana uhusiano gani na hizi msgs, ikiwa anahusika, tutatoa namba yake kamili na jina lake kamili na jinsi anavyohusiana na hizi msgs.

Isipokuwa tumefahamu ni kada wa CCM. Ngoja tuchunguze pengine tunaweza kuibua mengi.

Tuko mabibo tunafuatilia.
 
Hii number huwezi piga wala reply text.

Hiyo country code ni Tanzania lakini jamaa wametumia less one digit, wanaweka 0 then 4 digits, TCRA wanaweza kutrack down chanzo cha hii text message bila wasiwasi.
Amini hao tcra hawatafanya hivyo
 
Police fails to nab the prime suspects in emails scam




By Rodgers Luhwago



24th October 2010


email.png

Email



printer.png

Print



comment_bubble.png

Comments






Nearly one week since this paper revealed the kingpin behind the hateful campaign text messages, the Tanzania Police Force is still lagging behind, with no any breakthrough in nabbing the prime suspects, The Guardian on Sunday has learnt.
The failure to apprehend the suspects behind these text messages cast doubts on whether the Force has well equipped Information Technology investigators who can unearth how the dirty campaign was planned and executed.
Speaking to the Guardian on Sunday this week, the Director of Criminal Investigations (DCI) Robert Manumba said investigation was still going.
Asked to tell whether police have made any arrests in connection with the circulation of the hateful messages via mobile phones DCI Manumba simply replied: "What I can tell you is that we are still conducting an investigation"
However, DCI Manumba could not give any further explanations on the matter apart from maintaining that he was occupied with a meeting before he hung off.
Efforts to reach Tanzania Regulatory Authority (TCRA) Director of Communication Innocent Mungi proved failure as both his mobile phone numbers were either out of reach or were switched off.
The story which last week sparked a wide debate online, with many of the contributors calling for the immediate arrest of the kingpin behind the move, named one Rashird Shamte as one of those who received and circulated the hateful messages.
During our investigation, The Guardian on Sunday established that the text messages were sent either through general packet radio service (GPRS), which is a technology used for transmitting data over the mobile network.
Though after the publication of the story, the suspects, hurried to delete all emails linked to the hateful text message, since the sender used GPRS, the easily identified by tracing the source of Internet Provider (IP) address.
Likewise a mobile device used to transmit or send these messages can also be identified through its phone number or IMEI (international mobile equipment identity)
The Guardian on Sunday has established all emails addresses, IP addresses as well as the individuals involved.
The Guardian on Sunday has also established that the alleged Finland registered number was used just as a cover-up, aimed mainly at hiding any traceability of the real culprit.
The hateful text messages widely circulated throughout the country from mobile numbers registered in Finland were part of an election smear campaign carried out by a local IT specialist currently operating on the fifth floor of Barclays House.
Two weeks ago, Shamte received edited versions of the ten hateful messages plus the 'ten commandments' at his email address rashid.shamte@6telecoms.co.tz. In one of the email seen by this newspaper, the author says, "Brother, we have finished your assignment with my boy who seemed to be good in doing this job…I will call you shortly so that we see how to empower him financially."
"As you may be aware this is a tough job that needs time and creativity" reads another one of the emails sent to rashid.shamte@6telecoms.com on October 10, this year.
But, not all messages designed, authored and sent to Shamte's emails were hateful or incriminating. Majority of these emails were just strategies aimed at responding to various policy issues raised by Dr Slaa and Professor Lipumba.
The hateful text messages have predominately targeted Chadema presidential candidate Dr. Willibrod Slaa but have also been directed at Professor Ibrahim Lipumba. The first crop of ten messages accused Dr. Slaa of being a dangerous man who shouldn't be trusted with the task of leading a nation like Tanzania.



SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY


Na hata polisi hawajaribu kukamata watu. Hivi mwaka huu itakuaje? Waliaibishwa jana kutoka ITV inaelekea.:A S 39:
 
078-049550....tulipoona msg kutoka namba hii tulimpa mtaalam fulani wa 'telecommunication engineering akafuatilia na akatupa mwanga kidogo, kwamba Kuna mtu anaitwa Z. Mrisho amesajiliwa, mkazi wa mabibo Dar es Salaam kwa moja ya namba za Zain, bado tunafuatilia tujue ana uhusiano gani na hizi msgs, ikiwa anahusika, tutatoa namba yake kamili na jina lake kamili na jinsi anavyohusiana na hizi msgs.

Isipokuwa tumefahamu ni kada wa CCM. Ngoja tuchunguze pengine tunaweza kuibua mengi.

Tuko mabibo tunafuatilia.
i love this spirit.
let wait and see
 
Mimi nimeipata SMS hiyo katika namba yangu ya zain kutoka namba hii 255-65-906805. Kwa kweli hawa jamaa hawana maana na wamejiandaa kuvuruga uchaguzi. Lakini kitu ninachojiuliza ni kuwa namba zetu wanazipata wapi? Makampuni ya simu au TCRA inabidi wawajibike.
 
shamte ana gateway ya kupita simu zote zinazopigwa tanzania........


hana hasara hata kidogo kutuma hizo jumbe kwa watu

Naona Mkuu umenena. Yaani "6telecoms" ya Shamte ina maana ya (1) Voda, (2) tigo, (3) Zain, (4) Zantel, (5) TTCL, (6) Sasatel ?. Ujuzi wake wa kupenyeza mitandao yote sita kauuzia CCM kwa bei fulani?
 
Sijaipata nhiyo sms bado. ninaisubiri kwa hamu, safari hii mahakamani wakuu. am not joking.
Simu yangu nimesajili kwaaajili ya mawasiliano. Lengo la kusajili No. ya simu ni nini?

Naamini lengo la kusajili No. ya simu ni kujiepusha na mambo kama haya, kama tumesajili No. na
tunatumiwa sms za kejeli na mamlaka husika haina lka kufanya basi naomba nirudishiwe gharama zangunilizotumia wakati nasajili No. yamgu!!! let me not talk too much am just waiting for that Flibbertigibbet sms.
 
Ni kweli wapuzi hawa wameanza tena na hizo sms zao. Mimi namba yangu ni Zain na nimepata hiyo sms toka namba 2557071788, nimejibu nikiwaamruru waachane nami kwa sababu sidanganyiki lakini jibu likawa number not in use. Wafa maji haweshi kutapatapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom