Elections 2010 CCM at it AGAIN. SMS zishaanza upyaa!!

Mimi nimeupata kutoka namba 2557071788. Kama kweli TCRA hawawezi kumbaini anayetuma ujumbe huu basi usalama wa nchi hii uko hatarini sana. Kama watu wa namna hii hawatakamatwa wanaweza kuliingiza taifa hili katika mgogoro kwani hatujui kesho na kesho kutwa watatuma ujumbe wa namna gani.
 
TCRA? Yule ceo wa pale ni msn** sana! ni vibaraka, naomba uisome post hii, nyie ni vibaraka, tena nina hasira balaa :frusty:
 
we kalumekenge angalia mwanajf mwingine ameshaupata ujumbe naye. na namba zimetofautiana. kuna kitu hapo. ila always utagundua tarakimu moja inamiss. linganisha na namba nilizotoa.
Acha upuuzi wa kizamani. shiriki kusimamisha hizi spinning dogo

HA HA HA HA Msanii bwana
 
Sasa mnalalamika nini? Hiyo SMS mi naona ina ukweli mtupu. Chadema wamemuua dereva wa CCM na Shibuda kawekwa ndani? Na ni ukweli kwamba watu wa Chadema walisema mwaka huu lazima kieleweke hata kama damu itamwagika.

People, this is politics. You can't do/say crazy things without suffering the consequences. Own it up, apologize or something then move on. Sasa nyie mnaanza kuplay victim kama kawaida yenu. The other day Slaa kasema kwamba karatasi za kura ziko tunduma. It turns out alikuwa anaropoka kama kawaida yake. Wabongo sio wajinga kiiivyo jamani.
 
yule shamte si ndo ana gateway ya mitandao ya simu yote tz

so anawezakucheza atakavyo ila haina noma wiki ijayo kura yangu itaamua
 
kuna ujumbe umenifikia sasa hivi kutoka namba 078049550 kupitia mtandao wa zain usemao...

Kwenye bold hapo ni kwamba shibuda ndiye anayeshikiliwa isivyo halali mpaka sasa, hivyo wanavyosema kuwa mjumbe wa kampeni wa slaa amekamatwa huo ni uwongo na kuchafuana kama walivyo wachafu.

Wakuu nimeweka hii namba hapo kwani utata wake ni kwamba ina tarakimu tano badala ya sita hivyo naamini kuna niambaya makusudi imefanywa na hata hao wenye mtandao (zain) kupitisha huu ujumbe.
Pili ni kwamba mimi ninaomba msaada wa kisheria niweze kushtaki maana ujumbe huu maana sijui mtumaji ana lengo gani na mimi.

Nimejaribu kumpigia mwenye namba simpati. Kama kuna mtaalam anaweza kuipata chanzo ya hii namba tumwanike hapa jukwaani

jamani jamani kidumu chama cha mapinduzi.....watu waliouliwa huko kwa shibuda mmekwatumia rambi rambi?
 
Sasa mnalalamika nini? Hiyo SMS mi naona ina ukweli mtupu. Chadema wamemuua dereva wa CCM na Shibuda kawekwa ndani? Na ni ukweli kwamba watu wa Chadema walisema mwaka huu lazima kieleweke hata kama damu itamwagika.

People, this is politics. You can't do/say crazy things without suffering the consequences. Own it up, apologize or something then move on. Sasa nyie mnaanza kuplay victim kama kawaida yenu. The other day Slaa kasema kwamba karatasi za kura ziko tunduma. It turns out alikuwa anaropoka kama kawaida yake. Wabongo sio wajinga kiiivyo jamani.

nyang'au mkubwa we!
 
Wacha ichimbwe asili ya hiyo sms ilikotoka afu aanikwe hadharani umma uamue...
manake hao mapolishi kazi yao ni kupiga wapinzani wa ccm na kubambikiziana vijikesi na tcra ni kufungia simu ambazo hazijasajiliwa...
 
na wewe acha uongo wako shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.

ni ukweli hata mimi nimeletewa ujumbe huo kwa no 058049550, nawachukia sana hawa wanao chochea vita . Wanaotuma hizi sms hawana akili kabisa maana hawajatafakiali kuwa wanachochea kitu cha hatari kiasi gani. Tuwakatae wachochezi wa aina hii ni hatari kwa nchi yetu....ni kwa mtu mjinga anaye weza kukubaliana na sms kama hizi. Sisi ni watanzania tumelelewa kiamani si kivita vita tusikubali uchochezi unaotutenganisha watanzania tu ndugu moja. Siasa zisitugawe tukaunda makundi yanayochukiana. Tupige campain zenye kuimarisha umoja wetu nakutoa sera zinazoeleweka na si zavitisho.Jenga hoja usikilizwe!
 
Lolote litakalotokea TCRA watawajibika 100% The Guardian walishaandika uchunguzi about culprit wa sms za chuki wakamtaja Shamte...lakini TCRA wako kimya hadi leo....walitakiwa at least waanze kufanya kazi from there. Hizi namba hapo juu zina code za Tanzania...ingawa extra numbers ni za digit tano badala ya sita!!!!! As usual, my expectation is TCRA watasema hawajui source ya namba hizo!!!!
 
Sidhani kama hizi sms zinawasaidia kitu hawa mafisadi wa CCM. Dk Slaa alishaweka kila kitu hadharani, tunasubiri nguvu ya umma ifanye kazi Oktoba 31.
 
wakuu jana tarehe 24 oktoba, 2010, mnamo saa 1:09 jioni nilipata ujumbe wa maandishi (text message) kwenye kikasha cha kupokelea cha simu yangu; uliosema:
chadema wametekeleza ahadi ya kumwaga damu. juzi wamemuua ndugu wa mgombea wa ccm maswa. mjumbe wa kampeni ya slaa amekamatwa. tuwakatae chadema wamwagaji damu.

my take;
  • je, ni kweli chadema walitoa ahadi ya mauaji kwenye ilani yao ya uchaguzi.
  • ni nani hao waliotuma ujumbe huo na kwa nini hawajitambulishi?
  • je, kuna mkuu yeyote aliyetumiwa ujumbe huu au kusikia popote au ndio mimi tu peke yangu ndiye niliyetumiwa?

Mkuu mimi nimetumiwa ujumbe kama huu jana 24-10-2010 18:50, kwa mtazamo wangu ZAIN ndio wanahusika na huu upuuzi
 
Walitumiwa watu wengi mkuu, nadhani huyo ni Rashidi Shamte wa Sixtelecom, sio mara yake ya kwanza kufanya hivo.
 
Na mimi nilipata ujumbe huo!hizi ni fitina za CCM!!lakini mwaka huu hatudanganyiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wakuu jana tarehe 24 oktoba, 2010, mnamo saa 1:09 jioni nilipata ujumbe wa maandishi (text message) kwenye kikasha cha kupokelea cha simu yangu; uliosema:
chadema wametekeleza ahadi ya kumwaga damu. juzi wamemuua ndugu wa mgombea wa ccm maswa. mjumbe wa kampeni ya slaa amekamatwa. tuwakatae chadema wamwagaji damu.

my take;
  • je, ni kweli chadema walitoa ahadi ya mauaji kwenye ilani yao ya uchaguzi.
  • ni nani hao waliotuma ujumbe huo na kwa nini hawajitambulishi?
  • je, kuna mkuu yeyote aliyetumiwa ujumbe huu au kusikia popote au ndio mimi tu peke yangu ndiye niliyetumiwa?

Kuna mtu kaupata hapa kanionyesha!
Ni mipango-mikakati ya akina MAKAMBA hii, lakini haisaidii kitu!
Ingekuwa ni ishu hata waandishi wa habari wangemuuliza SLAA juzi kwenye mdahalo!
Wachana na hii upuuzi, tunza shahada yako ready for 31st October
 
MH! HAPO KUNA MKONO WA HUYU BWANA...>>>
A%20S-devil1.gif
 
Kuna mtu kaupata hapa kanionyesha!
Ni mipango-mikakati ya akina MAKAMBA hii, lakini haisaidii kitu!
Ingekuwa ni ishu hata waandishi wa habari wangemuuliza SLAA juzi kwenye mdahalo!
Wachana na hii upuuzi, tunza shahada yako ready for 31st October

...there you are!!!
 
Ndio damu imemwagika sasa wanasemaje...na itaendelea kumwagika sana kama hawataacha mambo yao ya ki**** ng**
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom