Elections 2010 CCM at it AGAIN. SMS zishaanza upyaa!!

Muda mfupi uliopita nimepata sms kwenye simu yangu ya zain toka namba 2557071788 na hapa ninainukuu "CHADEMA wametekleza ahadi ya kumwaga damu.Juzi wamemuua ndugu mgombea wa CCM Maswa. Mjumbe wa kampeni ya SLAA amekamatwa.Tuwakatae chadema wamwagaji Damu" Ni dhahiri sasa inaonekana ni CCM dhidi ya Dr.Slaa jamani hivi ni kweli au ndo mfa maji haachi kutapatapa
 
hii namba yenyewe tata, hivi wale tume ya sijui ya mawawsiliano kimbe ilikuwa danganya toto tu eeh, hakuna wanaloweza kufanya juu ya hizi jumbe za kipuuzi toka namba zisizoeleweka?
 
Ndugu zangu tusipoteze muda na ujumbe wa namna hii. Tuna wiki moja kumaliza mchezo huu. Huu ni wakati wa wapenzi wa Dr. Slaa na Chadema nao kuandika jumbe nyingi na kuzituma. Kisheria kosa ni kuandika habari za kumchafua mtu kama kuna wenzetu ambao wanaweza kuwapata watu hawa ni vizuri na aliyechafuliwa ataweza kuwafungulia kesi ya madai na uchafuzi. Lakini ninadhani cha maana ni Chadema, wapenzi wake na wote wenye mapenzi mema kuandika ujumbe mzuri wa kuonyesha sifa nzuri za Dr. Slaa na wagombea wake wa ubunge na udiwani, na kuandika ujumbe unaonyesha kushindwa kufanya kazi kwa Kikwete na CCM. Muda uliobaki ni muhimu sana hatuna cha kupoteza.
 
Iyo namba ya voda nami imenitumia na nkareply who are u na umepata wapi namba yangu
Sikupata majibu
 
ni siasa za maji taka na ni siasa za kiwango cha chini kabisa kuzipata kutoka kwenye chama kama CCM!! ILITAKIWA IWE MFANO WA KUIGWA lakini CCM imegeuka mfano wa chama cha kupuuzwa!!

walakini, saa ya ukombozi imefika tanzania, shelf life ya CCM sasa ni miaka 5 tu, hata wakiiba sasa hawataweza kuiba next time
 
Hata mie nimeipat iyo sms toka no: 2557071788 anaye bisha hayuko TZ lakini kwa wale waliko TZ wengi wao wamezipata ngoja Kesho utavyosikia watu wanavyosema

yaaani propaganda team ya CCM hawana mwanga kabisaaaa.

Wao badala ya kufikiria jinsi ya kukinusuru chama kutokana na mapungufu na kupakwa matope na mafisadi wao wanakalia kutuma sms.

kwa salama na ponapona ya kupoteza kura CCM JK to ahadi kwa watanzania kuwa ukichaguliwa tu wale wote walio husika na kashfa yoyote ya UFISADI wasitegemee uwaziri hata kidogo na kesi itaendelea
 
Sijui hawa ccm wanadhani wapo milele.
Nahisi endapo watakosa kura zetu wataanza ule mchezo wa mashariki ya kati. yaani kujivika mabomu na kujitoa mhanga kwenye halaiki.
am watchful
 
Jamani hata mimi nimepata same message toka 2557071788. Hii sii namba kamili so huwezi kujibu wala kupiga namba hii, mtu yeyote aliye nyuma ya msg hizi ndiye asiyeitakia mema nchi yetu. I dont believe CCM/Chadema wana nia ya kumwaga damu, isipokuwa kuna wachache miongoni mwetu ambao wanaamini wao ni raia daraja la kwanza, na wana hati milikii ya kuongoza milele. Inapokuja kwenye issue za national interest naona ni muhimu bila kujali itikadi zetu, sisi wananchi wa kawaida tuzikatae kwa nguvu zetu zote. Na kwavile serikali yetu haifanyis jitihada za kutosha kushughulika na tatizo hili, labda kwavile wanawajua wahusika ni untouchable, na sisi tutumie sauti ya umma kukataa upuuzi huu, mambo kama haya ndiyo ndiyo yanayoweza kuchochea mauaji ya kimbari.
 
Mi nimeipata kutoka kwa mtu ninayemfahamu, sijui kaipata wapi. Nimeona sina muda wa kuuliza imetoka wapi wakati it's obvious ni ccm. Nilichofanya ni kumrudishia majibu ya kukanusha tuhuma hizo na kumsisitizia asifanye makosa kuichagua ccm tar 31
 
Kuna ujumbe umenifikia sasa hivi kutoka namba 078049550 kupitia mtandao wa zain usemao...

Kwenye bold hapo ni kwamba shibuda ndiye anayeshikiliwa isivyo halali mpaka sasa, hivyo wanavyosema kuwa mjumbe wa kampeni wa slaa amekamatwa huo ni uwongo na kuchafuana kama walivyo wachafu.

Wakuu nimeweka hii namba hapo kwani utata wake ni kwamba ina tarakimu tano badala ya sita hivyo naamini kuna NIAmbaya makusudi imefanywa na hata hao wenye mtandao (ZAIN) kupitisha huu ujumbe.
Pili ni kwamba mimi ninaomba msaada wa kisheria niweze kushtaki maana ujumbe huu maana sijui mtumaji ana lengo gani na mimi.

nimejaribu kumpigia mwenye namba simpati. kama kuna mtaalam anaweza kuipata chanzo ya hii namba tumwanike hapa jukwaani
[/QUOTE


Prof Nkoma amekubali uprof wake uchakachuliwe na vilaza wa chichiem...inatia huruma sana,mwaka mzima watu wanaregister number ili kulinda usalama wa matumizi ya simu...leo anaruhusu watu watumie namba fake kutuma sms chochezi.......
its hard to say but its the truth you are stupid, may be not but why are you doing this to us? tumekukosa nini hasa.....aigrrrrrrrrri aaaaaaaaaaaaaah! inaniumiza sana ndugu zangu,nchi imeachwa iendeshwe na watoto wa mgombea,halafu wanahistoria ya kutumia madawa ya kulevya! leo wanatoa amri huku na kule halafu maprof waliosoma kwa kodi za wazee wetu wanatekeleza ili kuwafurahisha..... hivi mnamjua Mungu ninyi watu, take your time and know God...
 
good remainder that 31 you should vote, and not only vote, but vote off CCM! If you plan to vote for JMK, I would advice you sit at home and get a cup of tea....and let us vote. Tanzania Tanzania nakupendaaaa kwa moyoooo woteeeeeeeeee!
 
Hey wake up guy! Zimebaki siku 6 za campaign na watu wanapoteza muda kujadili sms za kipuuzi? Aliyefanya hivi anawa-proveke makusudi na watu wana-react kwa hasira.

Mind you, it takes only one skilled IT with a laptop and high speed internet to hack into TZ's communication systems and spam your phones.
 
Tunazipuuzia hizi sms. lakini tunaangalia chanzo chake ili kumaliza masalia ya mbu
 
Najiuliza kama endapo saidi mwema alimkamata yule wanayemwita mzushi wa TUNDUMA na kumfungulia mashtaka kwa uchochezi.
haya hizi ishu za sms mbona hakamatwi mtu???
Mimi nawaambia kuna wajinga wapo bias kama huyu mwema mzee wa maboresho ya uozo
 
we kalumekenge angalia mwanajf mwingine ameshaupata ujumbe naye. na namba zimetofautiana. kuna kitu hapo. ila always utagundua tarakimu moja inamiss. linganisha na namba nilizotoa. Acha upuuzi wa kizamani. shiriki kusimamisha hizi spinning dogo

Du...yashakuwa haya!!!!!
 
Kuna ujumbe umenifikia sasa hivi kutoka namba 078049550 kupitia mtandao wa zain usemao...

Kwenye bold hapo ni kwamba shibuda ndiye anayeshikiliwa isivyo halali mpaka sasa, hivyo wanavyosema kuwa mjumbe wa kampeni wa slaa amekamatwa huo ni uwongo na kuchafuana kama walivyo wachafu.

Wakuu nimeweka hii namba hapo kwani utata wake ni kwamba ina tarakimu tano badala ya sita hivyo naamini kuna NIAmbaya makusudi imefanywa na hata hao wenye mtandao (ZAIN) kupitisha huu ujumbe.
Pili ni kwamba mimi ninaomba msaada wa kisheria niweze kushtaki maana ujumbe huu maana sijui mtumaji ana lengo gani na mimi.

nimejaribu kumpigia mwenye namba simpati. kama kuna mtaalam anaweza kuipata chanzo ya hii namba tumwanike hapa jukwaani

Mimi hata walete sms trillion kura yangu ni kwa Dr. Slaa. CCM imekwisha kufa kilichabaki ni serikali iliyokuwa ya CCM na chama kiitwacho CCM JK Familiy; basi CCM ni kwa manufaa ya wachache kabisa ikiwemo familia ya JK.
 
Na wewe acha uongo wako Shibuda wala hashikiliwi, inaonekana wewe ndiyo umetunga hizo message na unasambaza.


Quinini dawa kali kwa malaria,

Ni kweli sana. Mafisadi wanamshikilia Shibuda.

Nenda kasome hapa (HabariLeo | Shibuda matatani, ahusishwa na mauaji) na ukishamaliza soma hapa (Shibuda atupwa rumande) pia ili uweze kupata pande zote mbili za habari, upande mmoja ukiwa wenye mtazamo wa kifisadi na kidhalimu (HabariLeo) na upande wa pili wa kizalendo na kishujaa (Mwananchi).

Ajabu sana, kwamba gazeti la WAWEKEZAJI KUTOKA NJE YA NCHI ndio wanaokuwa wazalendo zaidi kuliko lile ambalo linaendeshwa na WATANZANIA WENYEWE, tena kwa ruzuku kutoka KODI ZETU! AIBU!

Huu ndio urithi tulioachiwa na Mwalimu, kwamba sisi tuwe mafisadi na dhalimu, huku wageni wawekezaji wawe mashujaa na wazalendo?

Kichekesho cha mwaka!

-> Mwana wa Haki

P.S. HabariLeo walikuwa KIDEDEA sana kumchafua Slaa. Ile kesi ya Mahimbo vs. Wilibrod Slaa na Josephine Mushumbushi iliishia wapi?
 
Quinine wewe hujui kama Shibuda anashikiwa? Inawezekana unaumwa malaria yasiyotibiwa kwa Quinine, pole sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom