PreGE2025 CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA, Yasema kama ni kuiua CHADEMA ingewekeza nguvu kwa Zitto Kabwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya kuibuka kwake kuelekea uchaguzi.

Akizungumza na waandishi wa habari Mei 21, 2025 Makao Makuu ya CCM mkoani Arusha, Saipulani amesema kuwa madai hayo hayana msingi wowote na hayapaswi kupewa uzito.

“CHAUMMA ni chama kinachojiendesha chenyewe. CCM haina uhusiano wowote wa kifedha wala kimkakati na chama hicho. Tunajiuliza: Tungewasaidia kwa makubaliano yapi?” amesema

Ramsey ameendelea kusema kuwa kama CCM ingekuwa na nia ya kuidhoofisha CHADEMA kwa makusudi, basi kwa mtazamo wake binafsi, nguvu kubwa ingewekezwa katika kuisaidia ACT-Wazalendo au hata CUF, na si CHAUMMA.

Pia soma Pre GE2025 - DSM - CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA
 
View attachment 3341780
Uzuri Kila kitu kinajulikana
 
Ni suala la muda tu.Tutayaona yale,haya na ya kuleeeee! Ndiyo tutajua maana ya "Miso-misondo"!
 
View attachment 3341833

Huyu naye ni nani wa kuisemea sisiemu, katumwa au kajituma? Anajua nini kule Dar? By the way Chaumma ya mama
 
Hawawezi weka nguvu kwa ACT sabu wanajua kabisa ACT inanguvu sana kwa zanzibar endapo wataweka ma hela mengi ACT bas pesa izo ACT watazitumia kutafuta uraisi zanzibar na ni kitu ambacho act inaweza na inauwezo wa kushinda endapo itapata pesa.

So wameona waweke pesa chauma maana chauma ni chama isiyo na madhara yyte kwa Ccm,
 
Unadhani CCM wote hawana akili kama wewe? Uisadie ACT wakati tayari inakubali kuliko CCM upande wa pili, huoni hiyo ni hatari zaidi.
 
CHAUMMA NI CHAMA KICHANGA SANA SIYO TISHIO KWA CHADEMA.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya kuibuka kwake kuelekea uchaguzi.

Akizungumza na waandishi wa habari Mei 21, 2025 Makao Makuu ya CCM mkoani Arusha, Saipulani amesema kuwa madai hayo hayana msingi wowote na hayapaswi kupewa uzito.

“CHAUMMA ni chama kinachojiendesha chenyewe. CCM haina uhusiano wowote wa kifedha wala kimkakati na chama hicho. Tunajiuliza: Tungewasaidia kwa makubaliano yapi?” amesema

Ramsey ameendelea kusema kuwa kama CCM ingekuwa na nia ya kuidhoofisha CHADEMA kwa makusudi, basi kwa mtazamo wake binafsi, nguvu kubwa ingewekezwa katika kuisaidia ACT-Wazalendo au hata CUF, na si CHAUMMA.
View attachment 3341780
Pia soma Pre GE2025 - DSM - CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya kuibuka kwake kuelekea uchaguzi.

Akizungumza na waandishi wa habari Mei 21, 2025 Makao Makuu ya CCM mkoani Arusha, Saipulani amesema kuwa madai hayo hayana msingi wowote na hayapaswi kupewa uzito.

“CHAUMMA ni chama kinachojiendesha chenyewe. CCM haina uhusiano wowote wa kifedha wala kimkakati na chama hicho. Tunajiuliza: Tungewasaidia kwa makubaliano yapi?” amesema

Ramsey ameendelea kusema kuwa kama CCM ingekuwa na nia ya kuidhoofisha CHADEMA kwa makusudi, basi kwa mtazamo wake binafsi, nguvu kubwa ingewekezwa katika kuisaidia ACT-Wazalendo au hata CUF, na si CHAUMMA.
View attachment 3341780
Pia soma Pre GE2025 - DSM - CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA
Wanamaanisha ZZK ni familia
 
Halafu sura karibu zote zilizokwenda huko Chaumma ni Kaskazini.
 
Na hawakuwa 3,000 bali kujazia. Ni mwanachama gani anaweza kusafiri Arusha hadi Dar akajuinge na chama cha siasa?
 
Yeye wa Arusha atajua wapi ya makao makuu wenye pesa?
KWA COMMENT HII MAKINI TUMEFUNGA RASMI UZI HUU.AIDHA KWA SASA TUNAMSIKILIZA TU GWAJIMA PEKEE JUU YA UTEKAJI
 
Back
Top Bottom