What do you mean?Na wewe ni great thinker?????????
mkuu hizi ni dalili za kufa taratibu (silent killer) na bado wanatamani ata wasimamishe dr ulimboka,kibanda na mjane wa mwangosi rip ili waweze kujisafisha though wanajua hawawezi ata siku moja (rip magamba)
Asante mkuu kwa kutupa taarifa rasmi ya Mwigulu.Mwigulu Nchemba Oscar nimekupata. Aliyemwagiwa tindikali anafanya kwa hiari na anashuhudia. Sio kulazimishwa plz. Najua unamhurumia ila yeye ndiye anapenda aseme
17 hours ago via mobile · Like
Haya ni majibu yake toka fb........ni upuuuzi, hata kama anataka mwenyewe, you have to think twice
Mwigulu Nchemba Oscar nimekupata. Aliyemwagiwa tindikali anafanya kwa hiari na anashuhudia. Sio kulazimishwa plz. Najua unamhurumia ila yeye ndiye anapenda aseme
17 hours ago via mobile · Like
Vp na cdm wamsimamishe dr ulimboka,kibanda?ambao mmewang'oa meno na kucha bila hata huruma?achilia mbali hao je ni haki kumsimamisha mjane wa mwandishi Daud?,wewe cdm tutapochukua nchi mimi nitakutafuta hata kama kukufungulia mashitaka the hague -unastahili kabisa,kumbuka braza wewe ni kijana na utarajie kuishi sana tena muda huo cdm iko kwenye dola,jiandae braza
Haya ni majibu yake toka fb........ni upuuuzi, hata kama anataka mwenyewe, you have to think twice
Asante mkuu kwa kutupa taarifa rasmi ya Mwigulu.
Jambo baya ni kwamba huyo kijana Tesha anasafirishwa kwa ruzuku ya CCM na analipwa ujira kwa kazi hiyo anayoifanya but katika hali ya isiyo ya kawaida ana matatizo ya kiakili pia.
Hakuna ushabiki hapa.Jaman huyo si mlemavu. Watanzania tuache ushabiki