CCM acheni kuchanganya dini na siasa

CCM acheni kuchanganya dini na siasa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,137
Reaction score
48,364
Mara Samia Suluhu Hassan aende kuombewa na Boniphase Mwamposa ambaye baadae anasema eti anamuona Samia kwenye Urais mwaka 2031!

Hatujakaa sawa Emmanuel Nchimbi yupo kwenye vikao vya wapentekoste akiwaomba wamuombee Rais Samia Suluhu Hassan.

CCM acheni kuchanganya siasa kwenye dini.
 
Tunaishi kwa kumtegemeana, mwanasiasa hawezi kukwepa imani, na imani ina wasimamizi wake.
 
Mara Samia Suluhu Hassan aende kuombewa na Boniphase Mwamposa ambaye baadae anasema eti anamuona Samia kwenye Urais mwaka 2031!

Hatujakaa sawa Emmanuel Nchimbi yupo kwenye vikao vya wapentekoste akiwaomba wamuombee Rais Samia Suluhu Hassan.

CCM acheni kuchanganya siasa kwenye dini.
Tatizo ni wanadini wenye njaa, wangemkatalia kuja kwao na propaganda za siasa
 
nonsense,

yaani kulipenyeza kanisa katoliki liingie ndani ya Chadema kupitia TEC ya Fr.Kitima kumeshindikana kabisa gentleman? :pedroP:

ila Lucy Michael na katekista Joseph Ludoviki ni watu na nusu aise.

kwahiyo,
na wewe Allen Kilewella unalipwa kwa porojo hii ?:pedroP:
 
Hapa umeongea hoja kubwa Sana watu wa aina ya Tlaatlaah hawawezi kuelewa.

Tlaaatlah umeshasahau kuwa Samia alishawahi kumpelekea Kadinali Rugambwa joho la kuendeshea Ibada?
 
nonsense,

yaani kulipenyeza kanisa katoliki liingie ndani ya Chadema kupitia TEC ya Fr.Kitima kumeshindikana kabisa gentleman? :pedroP:

ila Lucy Michael na katekista Joseph Ludoviki ni watu na nusu aise.

kwahiyo,
na wewe Allen Kilewella unalipwa kwa porojo hii ?:pedroP:
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Back
Top Bottom