CCK yawaonya CHADEMA

Katibu Mkuu wa CCK, Renatus Muabhi ---------- Aaa huyu jamaa si alikuwa CCJ?.. ANASIFIKA SAANA KUWA "UTAMADUNI WA MOMBASA ANAUJUA VYEMA!
 
POLICCM Mbona Hamja itaja?au ndo imewatuma?,mnajifanya hamjui kuwa iringa hapakuwa na mkutano bali ufunguzi wa tawi?, Wala hamjui kuwa CCM walikuwa wakiendelea na mikutano ya ndani bila kubugudhiwa?,Fiesta ilikuwa ikiendelea bila bugudha!,Bu bubu CCM wamerudisha fomu kwa maandamano na sensa ilikuwa bado inaendelea,Mkitumwa muwe mnachanganya na yenu vinginevyo ''MNAUMBUKA'' na lugha zenu za vitu vizito vilivyo rushwa toka mbali.Sasa hapa ndo mmetumia akili zenu ZOTE kuandika hii hotuba.USHAURI WA BURE:subirini ndoa ya mkeka
Hii nimeipenda, imekaa vyema!
 
Jamani CCK nao walitaka wasikike, kwani bila kutoa tamko baya kuhusu CDM wangewezaje kupata coverage kwenye media? Labda ni mpango wao wa namna ya kujitangaza
 
Hivi vyama vingine, kwa waliomuona yule jamaa jana anaongea kwa wenye akili huitaji maelezo ya kina kujua anasukumwa na ukibaraka, jamani njaaa mbaya
 
Hiki chama sera yake ni nini? Kuanza tu, kinaanza na umbea, kinatafuta huruma ya ccm?
 
JUMAMOSI, SEPTEMBA 15, 2012 07:23 NA RACHEL MRISHO

CHAMA cha Kijamii (CCK), kimekijia juu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukitaka kitafakari kiini cha matukio ya mauaji yanayotokea katika mwendelezo wa siasa zake.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa CCK, Renatus Muabhi, alisema ubabe na kauli zinazotolewa na katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Willbrod Slaa, zinaweza kuhatarisha usalama wa nchi.

“Kwa kusimamia misingi na maadili, tunapenda kukiasa Chadema kukaa na kutafakari misingi na chanzo cha matatizo yanayokinyemelea, yakiwamo ya wananchi kuuawa katika mikutano yake,” alisema na kuongeza:

“Tunajua na ni ukweli usiopingika kwamba Chadema ni chama ambacho kimejizolea umaarufu mkubwa kiasi cha kuwa tishio kwa chama tawala (CCM). Tabia ya kuwafanya wananchi kuwa kuni za kuchochea siasa chafu iachwe, kwa kuwa wao ndio wanaoteseka na si wanasiasa.

“Chama hiki kimejengwa kwa hali na mali katika mazingira magumu kufikia kilipo hivi sasa, hivyo ni jukumu lao kujitathimini na kutafuta mbinu mpya ya kukwepa siasa hatarishi, ili kufikia azma sahihi,” alisema.

Aliongeza kuwa ubabe na kauli za Dk. Slaa, ikiwamo ya kumtumia ujumbe mfupi wa maneno Mkuu wa Jeshi la Polisi chini, Said Mwema kwamba aandae risasi nyingi ili wakauwe raia haipaswi kufumbiwa macho, kwani inatengeneza kizazi kisicho na utii wa sheria.

Mbali ya kuzungumzia mwenendo wa hali ya kisiasa nchini, Muabhi aliigeukia Serikali na kusema kuwa imeshindwa kusimamia huduma za kijamii na badala yake imejikita katika mbinu chafu za kuzuia hoja za kuikosoa kupitia mijadala na mikutano inayofanywa na vyama vya siasa.

“Hatusemi ni bahati mbaya kwa kuwa mauaji yaliyotokea Septemba 2, mwaka huu ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi, inaonekana kabisa yalifanyika kwa makusudi, jambo ambalo linaonyesha kuwa Serikali imejipanga kufifisha demokrasia kwa njia ya mtutu wa bunduki,” alisema.

hawajui wapo kwa ajili gani, mauaji ni wenzao wanaofanana nao ndio wanaleta kwa kutumia vyombo vya dola
 
POLICCM Mbona Hamja itaja?au ndo imewatuma?,mnajifanya hamjui kuwa iringa hapakuwa na mkutano bali ufunguzi wa tawi?, Wala hamjui kuwa CCM walikuwa wakiendelea na mikutano ya ndani bila kubugudhiwa?,Fiesta ilikuwa ikiendelea bila bugudha!,Bu bubu CCM wamerudisha fomu kwa maandamano na sensa ilikuwa bado inaendelea,Mkitumwa muwe mnachanganya na yenu vinginevyo ''MNAUMBUKA'' na lugha zenu za vitu vizito vilivyo rushwa toka mbali.Sasa hapa ndo mmetumia akili zenu ZOTE kuandika hii hotuba.USHAURI WA BURE:subirini ndoa ya mkeka

Masluphill: Hawa CCK wanajiabisha mapema. Kama ulivyopambanua hawana akili zao wenyewe naona wanatumiwa kama mavuvuzela wa CCM. Wanasiasa wanaimaliza Tanzania yetu. Lini watajifunza kuongea ukweli ili tuweze kuyatatua matatizo yetu katika misingi ya haki na kweli???
 
[h=2][/h]JUMAMOSI, SEPTEMBA 15, 2012 07:23 NA RACHEL MRISHO

CHAMA cha Kijamii (CCK), kimekijia juu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukitaka kitafakari kiini cha matukio ya mauaji yanayotokea katika mwendelezo wa siasa zake.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa CCK, Renatus Muabhi, alisema ubabe na kauli zinazotolewa na katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Willbrod Slaa, zinaweza kuhatarisha usalama wa nchi.

“Kwa kusimamia misingi na maadili, tunapenda kukiasa Chadema kukaa na kutafakari misingi na chanzo cha matatizo yanayokinyemelea, yakiwamo ya wananchi kuuawa katika mikutano yake,” alisema na kuongeza:

“Tunajua na ni ukweli usiopingika kwamba Chadema ni chama ambacho kimejizolea umaarufu mkubwa kiasi cha kuwa tishio kwa chama tawala (CCM). Tabia ya kuwafanya wananchi kuwa kuni za kuchochea siasa chafu iachwe, kwa kuwa wao ndio wanaoteseka na si wanasiasa.

“Chama hiki kimejengwa kwa hali na mali katika mazingira magumu kufikia kilipo hivi sasa, hivyo ni jukumu lao kujitathimini na kutafuta mbinu mpya ya kukwepa siasa hatarishi, ili kufikia azma sahihi,” alisema.

Aliongeza kuwa ubabe na kauli za Dk. Slaa, ikiwamo ya kumtumia ujumbe mfupi wa maneno Mkuu wa Jeshi la Polisi chini, Said Mwema kwamba aandae risasi nyingi ili wakauwe raia haipaswi kufumbiwa macho, kwani inatengeneza kizazi kisicho na utii wa sheria.

Mbali ya kuzungumzia mwenendo wa hali ya kisiasa nchini, Muabhi aliigeukia Serikali na kusema kuwa imeshindwa kusimamia huduma za kijamii na badala yake imejikita katika mbinu chafu za kuzuia hoja za kuikosoa kupitia mijadala na mikutano inayofanywa na vyama vya siasa.

“Hatusemi ni bahati mbaya kwa kuwa mauaji yaliyotokea Septemba 2, mwaka huu ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi, inaonekana kabisa yalifanyika kwa makusudi, jambo ambalo linaonyesha kuwa Serikali imejipanga kufifisha demokrasia kwa njia ya mtutu wa bunduki,” alisema.

CCK mnaanza lini kufanya shughuli za kisiasa?
 
CDM ihusike kuua, lakini kushitakiwa washitakiwe Polisi!.. Ningependa kujua elimu ya Katibu Mkuu?...

kama hataropoka maneno kama hayo, atajulikana kivipi?kuwa katibu mkuu si lazima eleimu mbona katibu mkuu wa ADC ndo anasoma open university.CDM MOTO WA TIPPER lazima apte pa kuangukia watu wamsikilize na kumjua, na pia ccm watamkubali kivipi kumtafutia udc wa kupambana na chadema?
 
hawa njaa kali kweli hata hawatambui wapo kwa kusudi gani, watakuwa wamewekwa na ccm ili kuongeza nguvu kupambana na chadema maana ccm wameogopa sana wameshaona wanavyoenda kuadhirika 2015
 
huyu jamaa anasifika sana kwa kale kamchezo ka mombasa hatumshamgai sana, pamoja na hayo mbona watuhumiwa wamepelekwa mahakamani na CDM wameachwa! hata katika hadidu za rejea alizotoa Nchimbi kwa kamati yake feki CDM haiajahusishwa. hilo tamko tafsiri yake ni woga wa kisiasa
 
Back
Top Bottom