CCK mnaanza lini kufanya shughuli za kisiasa?
May be we need a new definition of NATIONAL SECURITY! Killing your own people is what you call national security? I f the source of insecurity is CHADEMA why not killing chadema leaders instead of killing other innocent people? May be you are from other country, but if you are from Tanzania and you are Tanzanian then at least you should know there is nothing like security within POLICE system. Everybody knows that most of criminals are connected to police and its an organised crime! Leo mkuu unataka kutuaminisha kwamba yeyote anayepingwa na polisi TZ ni mhalifu! Hivi hata wanaowekewa bangi mfukoni na kubambikiwa kesi nao ni wahalifu? Dont cheat yourself brother, wanasiasa watabaki kuwa wanasiasa na sisi tuliobaki ni watanzania na tunahaki ya kuishi kwa amani. Kutumiwa na wanasiasa for the sake of even killing your brothers and sisters ni AIBU KUBWA KWAKO! Hivi kuna tofauti gani kati ya watu wa aina hii na wale wanaouwa mama zao au baba zao au watoto wao ili kupata utajiri kwa njia za USHIRIKINA? Nadhani tatizo lingine mkuu unaijua sana historia ya Tanzania kuliko ya Dunia. Historia ya dunia inatufundisha kwamba wananchi wakichoshwa huwa hakuna nguvu ya kuwazuia, ni kama mafuriko huwezi yazuia kwa kujenga ukuta! Hicho unachoita KIBIRITI HAKIWEZI KUWA ZAIDI YA MUNGU WA IBRAHIM, ISAKA NA YAKOBO! MUNGU AKITAKA LIWE LITAKUWA TU, HATA UKIWEKA HICHO KIBIRITI CHAKO UNACHOJIVUNIA! Its very simple brother to know which side God belong, its the side where they fight for love, peace and fairness and not their stomach! NEVER ON EARTH DARKNESS WILL WIN VERSUS LIGHT COZ GOD IS LIGHT!Mkamia maji hayanywi. Hakuna haja ya kueneza chuki kati ya serikali na wananchi, kati ya wananchi na tbc, na sasa kati ya wananchi na mapolisi, na usalama wa taifa. Hawa vijana wanaojitoa muhanga kulinda nchi yao wasikatishwe tamaa. Ni wahalifu tu ndo wanaweza kusumbuliwa na polisi na usalama wa taifa. Ukiona kila siku hivi vyombo vinakuwinda basi jua kuna kitu unafanya au unapanga kinachoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Hata viashiria vya nchi kutotawalika kupitia migomo vinawahusu.mtu ataingia madarakani kihalali na vyombo hivi vitamlinda mpaka amalize muda wake. Anayejidanganya kuwa anaweza kuitoa madarakani serikali halai ya tanzania kupitia nguvu ya umma ni mkimbizi asiyejua historia ya nchi hii. Apeleke hizo ndoto kwa waliomtuma hapa kiberiti kipo ndiiiiiii
Kwenye magazeti ya leo, ya Uhuru na Mtanzania, amenukuliwa Katibu mkuu wa chama kipya cha siasa, kilichopata usajili wa kudumu hivi karibuni CCK, Renatus Muabhi, akikionya Chadema, kuwa kinahatarisha maisha ya wafuasi wake, kwa kukaidi maagizo ya serikali, kuhusu uendeshaji wa shughuli zake za kisiasa, ambapo husababisha polisi, kuingilia kati kuzuia shughuli hizo, hadi wakati mwingine kusababisha maafa, kama yalivyotokea hivi karibuni huko Morogoro na Iringa.
Sikushangazwa sana na kauli hiyo, iliyotolewa na kiongozi wa ngazi ya juu kabisa ya chama hicho ya kukilaumu Chadema, badala ya kuilaumu polisi, ambayo ndiyo inafanya makosa makubwa,kwa kuzuia shughuli halali za baadhi ya vyama vya siasa, kwa visingizio vya kipuuzi.
Nasema sikushangaa, kwa kuwa baadhi ya vyama, vinavyojiita vya upinzani,vinaidhinishwa na msajili wa vyama vya siasa, kwa maelekezo maalum na CCM kwa kazi moja tu, ya kuwashambulia Chadema.
Tumemshuhudia Tendwa mwenyewe, akitumika na magamba kwa kutamka kuwa anakusudia kukifuta Chadema. Sasa ili hoja yake iwe na nguvu zaidi, anavitumia hivyo vyama CCM-B, kutoa matamshi ya aina hiyo ili aweze, kutekeleza azma yake ya kuifuta Chadema.
Lakini hata hivyo vyama hivyo CCM-B, na msajili wao wa vyama John Tendwa, nadhani, watakuwa wameipata, meseji aliyotuma, kamanda Mbowe kuwa, Tendwa kama haitakii mema nchi hii, athubutu kuifuta Chadema, aone moto utakaowaka nchini, ambao hakuna chombo chochote cha dola, kitakachokuwa na uwezo wa kuuzima!!
Kinacho waacha wasihangaikie sera za Chama chao na kuzungumzia Chadema ni nini?.
Au CCK ni chama cha kupinga CDM?
Watanzania tunahitaji mchango wao wa chama cha upinzani, tunawahitaji watoe mchango wao kwa Taifa, siyo mchango wa kuua upinzani.
Wanaombwa sana wawe makini zaidi kwa shughuli za kuboresha maisha ya mtanzania na siyo kuboresha Chadema!
Chadema inao watu wa kutosha kuiboresha.
Please focus on your responsibilities of an opposition party!
Tutawashukuru kwa hilo CCK.