CCK yawaonya CHADEMA

CCK yawaonya CHADEMA

CCK = CCM

Unaacha kuwashambulia majangili wauaji unawashambulia victims kumbuka wanachama kibao wa chadema walijeruhiwa siku ile wengine wamelazwa hadi leo hii.
 
Huyo Renatus ni msemaji wa IGP? Mtu aliyetumiwa message hajaongea lakini kuna wanaume wanaacha wake zao ndani na kujipachika kazi zisizo wahusu! Pia Renatua anaweza kusema kwanini Jamhuri imempeleka mahakamani askri wa Jeshi la Polisi na sio CHADEMA? Nani ana kosa, mmebeba kitu kizito au aliyepigwa na kitu kizito?

Na CCK kimeanzishwa kupambana na na upinzania? Wanaueme wengine!
 
Wanauhuru wa kutoa maoni yao. Si ushujaa kuilaumu polisi tu. Lazimz tuwe makini mauaji yanapotokea kuna sababu gani inayoleta fujo? Chadema walipania kuvuruga zoezi la sensa kupitia utaratibu wao kuwa nchi haitatawalika. Haingii akilini mtu mzima anawezaje kupanga mkutano wa operation shangaa wakati wa sensa kama si kutaka kuharibu mambo ninini?? Mbona vyama vingine vimetulia ni wao tu wanajifanya wanauchungu na watanzania? Wala hawafananii labda wasiowafahamu
 
Mkamia maji hayanywi. Hakuna haja ya kueneza chuki kati ya serikali na wananchi, kati ya wananchi na tbc, na sasa kati ya wananchi na mapolisi, na usalama wa taifa. Hawa vijana wanaojitoa muhanga kulinda nchi yao wasikatishwe tamaa. Ni wahalifu tu ndo wanaweza kusumbuliwa na polisi na usalama wa taifa. Ukiona kila siku hivi vyombo vinakuwinda basi jua kuna kitu unafanya au unapanga kinachoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Hata viashiria vya nchi kutotawalika kupitia migomo vinawahusu.mtu ataingia madarakani kihalali na vyombo hivi vitamlinda mpaka amalize muda wake. Anayejidanganya kuwa anaweza kuitoa madarakani serikali halai ya tanzania kupitia nguvu ya umma ni mkimbizi asiyejua historia ya nchi hii. Apeleke hizo ndoto kwa waliomtuma hapa kiberiti kipo ndiiiiiii
 
POLICCM Mbona Hamja itaja?au ndo imewatuma?,mnajifanya hamjui kuwa iringa hapakuwa na mkutano bali ufunguzi wa tawi?, Wala hamjui kuwa CCM walikuwa wakiendelea na mikutano ya ndani bila kubugudhiwa?,Fiesta ilikuwa ikiendelea bila bugudha!,Bu bubu CCM wamerudisha fomu kwa maandamano na sensa ilikuwa bado inaendelea,Mkitumwa muwe mnachanganya na yenu vinginevyo ''MNAUMBUKA'' na lugha zenu za vitu vizito vilivyo rushwa toka mbali.Sasa hapa ndo mmetumia akili zenu ZOTE kuandika hii hotuba.USHAURI WA BURE:subirini ndoa ya mkeka


Mbona NCHEMBA kafanya MKUTANO WAKE SINGIDA na NZEGA bila Tatizo; Mbong Mbunge wa VITI MAALUM CUF anafanya

Mikutano TANGA na kugawa Zawadi? EQUAL RIGHTS 2 ALL... NO DIVIDED ATTENTIONS...

F.Y.I Mimi SIO CHADEMA ni MPENDA HAKI KWA WOTE!! Nikiona kosa Naliongelea...
 
Anayepaswa kuambiwa ni CDM au CCM? Mbona kama ni ubabe, ufisadi, mauaji na ujambazi wa kisiasa anayevitenda anafahamika. Ama kweli nyani haoni nonihino lake! Yaani pamoja na ghasia, mauaji na upuuzi wote bado CCM wana mshipa wa kuwanyoshea kidole wale wanaowahujumu kwa kuwapiga risasi za moto! Ipo siku watalia na kusaga meno. Heri wangejifunza toka kwa akina Gaddafi na Saddam kuliko kuendelea kuota mchana tena kama vichaa.
 
Mkamia maji hayanywi. Hakuna haja ya kueneza chuki kati ya serikali na wananchi, kati ya wananchi na tbc, na sasa kati ya wananchi na mapolisi, na usalama wa taifa. Hawa vijana wanaojitoa muhanga kulinda nchi yao wasikatishwe tamaa. Ni wahalifu tu ndo wanaweza kusumbuliwa na polisi na usalama wa taifa. Ukiona kila siku hivi vyombo vinakuwinda basi jua kuna kitu unafanya au unapanga kinachoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Hata viashiria vya nchi kutotawalika kupitia migomo vinawahusu.mtu ataingia madarakani kihalali na vyombo hivi vitamlinda mpaka amalize muda wake. Anayejidanganya kuwa anaweza kuitoa madarakani serikali halai ya tanzania kupitia nguvu ya umma ni mkimbizi asiyejua historia ya nchi hii. Apeleke hizo ndoto kwa waliomtuma hapa kiberiti kipo ndiiiiiii

Utakuwa umekatika kichwa, siyo bure
 
Wanauhuru wa kutoa maoni yao. Si ushujaa kuilaumu polisi tu. Lazimz tuwe makini mauaji yanapotokea kuna sababu gani inayoleta fujo? Chadema walipania kuvuruga zoezi la sensa kupitia utaratibu wao kuwa nchi haitatawalika. Haingii akilini mtu mzima anawezaje kupanga mkutano wa operation shangaa wakati wa sensa kama si kutaka kuharibu mambo ninini?? Mbona vyama vingine vimetulia ni wao tu wanajifanya wanauchungu na watanzania? Wala hawafananii labda wasiowafahamu

Umechelewa mno ndugu yangu
 
Alikuja Richard Kyaro na akaenda zake,muabhi unapotaka kutokea kubaya utazama!
 
hivi CCJ na CCK ni mapacha??

Hawa nao wamekariri, kwani lazima chama kianze na CCblah blah?!
 
Aah ni CCK? tusipoteze muda, hawa jamaa wanawakataza wanachama wake kufanya mikutano ya hadhara bila viongozi wakuu kuwepo!.. Pandikizi la CCM kama Chama cha Dovutwa!..
 
[h=2][/h]JUMAMOSI, SEPTEMBA 15, 2012 07:23 NA RACHEL MRISHO“Kwa kusimamia misingi na maadili, tunapenda kukiasa Chadema kukaa na kutafakari misingi na chanzo cha matatizo yanayokinyemelea, yakiwamo ya wananchi kuuawa katika mikutano yake,” alisema na kuongeza.
Muabhi, Shigela, Nape, Tendwa, na Dovutwa lao moja!.. Akimaliza kazi atarudi CCM.
 
Hayo nayo ni maoni kama maoni mengine.. ni vema kutafakari huku tukiitazama CCK na Bakwata msimamo wao ni upi miaka yote!
 
Hiyo ndio nitoke vipi yao,siku hizi kila chama kikitaka kupata umaarufu/kujulikana,lazima waanzishe shutuma kwa chadema,
na sisi wenye CDM tunawapotezea tu.
 
[h=2][/h]JUMAMOSI, SEPTEMBA 15, 2012 07:23 NA RACHEL MRISHOCHAMA cha Kijamii (CCK), kimekijia juu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukitaka kitafakari kiini cha matukio ya mauaji yanayotokea katika mwendelezo wa siasa zake.Muabhi aliigeukia Serikali na kusema: ...“Hatusemi ni bahati mbaya kwa kuwa mauaji yaliyotokea Septemba 2, mwaka huu ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi, inaonekana kabisa yalifanyika kwa makusudi, jambo ambalo linaonyesha kuwa Serikali imejipanga kufifisha demokrasia kwa njia ya mtutu wa bunduki,” alisema.
Sasa CDM imeingiaje katika mauaji haya?.. Nani asiyejua kuwa wauaji ni polisi kwa maagizo kutoka juu?..
 
[h=2][/h]JUMAMOSI, SEPTEMBA 15, 2012 07:23 NA RACHEL MRISHOCHAMA cha Kijamii (CCK), kimekijia juu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukitaka kitafakari kiini cha matukio ya mauaji yanayotokea katika mwendelezo wa siasa zake.Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa CCK, Renatus Muabhi, alisema “Kwa kusimamia misingi na maadili, tunapenda kukiasa Chadema kukaa na kutafakari misingi na chanzo cha matatizo yanayokinyemelea, yakiwamo ya wananchi kuuawa katika mikutano yake,” alisema na kuongeza:
CDM ihusike kuua, lakini kushitakiwa washitakiwe Polisi!.. Ningependa kujua elimu ya Katibu Mkuu?...
 
CCK aka CCM-B wameanza kumshika simba sharubu wakati hawana ata balozi wa Nyumba kumi 2015 watapata Hata diwani kweli? Au watapewa ubunge Viti maalumu Kama NCCR?
 
Back
Top Bottom