MawazoMatatu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2008
- 505
- 61
Na kusema "tutatatua" sio lazima utatuzi ufanyike bado ni matarajio tu...!CCJ imeweka muda wa nini itafanya.. siku 100 za kwanza na ndani ya mwaka mmoja wa wakwanza na jinsi gani... vyama vingine vya upinzani vinazungumzia ati "vikiingia madarakani" ndio tutajua watafanya nini. Kusema kuwa "ipo haja" na kusema "tutatatua" ni vitu viwili tofauti.