CCJ na Ajenda ya siku 100 za kwanza; yapeleka barua kwa mabalozi, yaandaa maandamano

CCJ imeweka muda wa nini itafanya.. siku 100 za kwanza na ndani ya mwaka mmoja wa wakwanza na jinsi gani... vyama vingine vya upinzani vinazungumzia ati "vikiingia madarakani" ndio tutajua watafanya nini. Kusema kuwa "ipo haja" na kusema "tutatatua" ni vitu viwili tofauti.
Na kusema "tutatatua" sio lazima utatuzi ufanyike bado ni matarajio tu...!
 
CCJ imeweka muda wa nini itafanya.. siku 100 za kwanza na ndani ya mwaka mmoja wa wakwanza na jinsi gani... vyama vingine vya upinzani vinazungumzia ati "vikiingia madarakani" ndio tutajua watafanya nini. Kusema kuwa "ipo haja" na kusema "tutatatua" ni vitu viwili tofauti.
Hii yote ni minyambulisho ya maneno tu haina nafasi yeyote katika utekelezaji.

MKJJ siasa si sawa na uandishi wa habari, ukiandika habari ni wachache sana watakaohoji ulichoandika, kwenye siasa watu huhitaji feedback. Mwanasiasa mahili ni yule anayeweza kujenga hoja na kuitetea hadi watu wakaikubali hata kama ni ya uongo, endapo hawatakubali awe ameshaandaa njia nzuri(maneno) ya kutokea.

Najua unajua uzembe umefanyika lakini umeshindwa kuujengea hoja kwa vile siku ya kwanza uliutetea leo unashindwa kujitoa, ningekuwa mimi wewe ningesema hivi 'tatizo limetokea halitarudiwa tena Ccj itakuwa makini sana siku zijazo' hiyo ndiyo njia nzuri ya kuutetea uzembe, kaa chini tulia fikiria ulipokosea then jirekebishe.
 
tatizo ni kuwa hamtaki kabisa kuangalia makosa ya msajili siku ile; mmeamini kila sentesi aliyoitoa kuhusu kilichotokea pale Mwembeyanga, na mmeshindwa hata kuhoji motivation yake ilikuwa nini. Kwa vile" msajili kasema" CCJ ina wanachama 13 mkoa mzima wa Dar watu waliowahi kuwa makini wamejikuta kama wamepuliziwa dawa ya usingizi kwani hata kuhoji hawahoji kama msajili alisema kweli au la. Kwa vile wanataka kuona CCJ kweli haikuwa makini basi wameng'ang'ania kuwa CCJ ilifanya makosa na kwa kufanya hivyo wamempa credibility mtu aliyepoteza credibility.

Kosa la CCJ ni kuamini kuwa msajili angeweza kuwa fair and impartial na kukubali kufuatana naye kwenye uhakiki. Hilo ndio kosa kubwa.
 
Mzee Mwanakijiji,
Mkuu wangu sijafuatilia sana hoja zilizopita ila nataka tu kukuambia kwamba CCJ wamechemsha mkuu wangu..Sheria iliyoiweka hapo juu inasema chama ni lazima kiwe na wanachama (MEMBERS) at least 200..Kwa hiyo mkaguzi anapokuja ni lazima wanachama hao wawe na Membership card. Popote unakapo kwenda membership card pekee ndiyo inayodhihirisha uanachama wa mhusika, kama huna kadi wewe ni mshabiki tu.

Hili halina Ubishi mkuu wangu kwa sababu Mkandara hapa naweza sana kuwapigia debe Chadema lakini kama sina kadi mkuu wangu,mimimnazi tu wa chama au itkadi yao, lakini siwezi kudai Uanachama. Hata ktk mkutano wao nikihudhulia nitahesabika kama mtu wa nje. Membership ina maana yake na lazima mkubali makosa yalipofanyika,penigne hamkujiandaaa vya kutosha. Ila kama hawa members wa CCJ walikuwa na vitambulisho kisha Tendwa akadai kuna makosa au havina picha hapo tena itakuwa somo jipya...na nitaendelea kukubaliana nawe sana tu.
 
Mkandara kama walikuwa na vitambulisho vingine na majina yao yalikuwemo kwenye orodha aliyopewa Tendwa je alitakiwa bado kuulizia kadi? kwa nini? Sikumbuki kama watu huwa wanapewa vitambulisho katika mambo wanayoamini ili kujua kama mtu ana imani gani?
 
je alitakiwa bado kuulizia kadi? kwa nini? Sikumbuki kama watu huwa wanapewa vitambulisho katika mambo wanayoamini ili kujua kama mtu ana imani gani?
Ndio

Ndio sifa mojawapo ya mwanachama anayetambulika na katiba ya CCJ (rejea katiba yenu). Kama CCJ yenyewe haimtambui mwanachama wake yenyewe, kwanini msajili alazimike kumtambua..??
 
Mkandara kama walikuwa na vitambulisho vingine na majina yao yalikuwemo kwenye orodha aliyopewa Tendwa je alitakiwa bado kuulizia kadi? kwa nini? Sikumbuki kama watu huwa wanapewa vitambulisho katika mambo wanayoamini ili kujua kama mtu ana imani gani?
Mkuu kwanza nikuulize vitambulisho gani hivyo? unaposema walikuwa na vitambulisho ni vipi hivyo maanake tupo ktk century ya 21..

Hata hivyo swala la Unachama wowote ule unatakiwa kuwa na kadi ya Uanachama (kitambulisho), haihusiani kabisa na kauli au imani ya mtu kuwa ndio kitambulisho..Hivyo tendwa alikuwaa sababu ya kuuliza kadi ya uanachama. Hata Polisi akija na magwanda yake unaruhusiwa kuomba kitambulisho chake kisheria na hakuna ID zaidi ya card yake ya Utambulisho. Nimekwambia kwamba Mimi Mkadara nina imani na mrengo wa Chadema lakini kama sina kadi yao siwezi kudai mimi mwanachama wao kwa sababu nina imani na mrengo wa chama.. You gut to join to be counted.

Pia unaweza kuwa mwanachama wa chama fulani lakini usiruhusiwe kupiga kura kama huna kadi ya kupiga kura. Huwezi kuchukulia sababu za uzembe wako kurekebisha sheria pale panapokugusa.. na kuanza kudai Katiba inasemaje kusimamisha madai yako kupinga matumizi ya daftari la wapiga kura kikatiba hali limekubalika kutumika kitaifa na kuwa sheria.

Kumbuka tu sababu ya kuwepo vitambulisho ni kuondoa hitilafu kama hizi ambazo kila mtu anaweza kudai ni mwanachama.. tumeyaona haya ktk kila taasisi za kazi, Union, clubs na kadhalika - Membership card ndio pekee inayoweza kutenganisha watu wenye imani na wale waliojiunga na imani hiyo.. Unachama siii swala la kuamini tu ila unakuwa mmoja wao..
 
Hii yote ni minyambulisho ya maneno tu haina nafasi yeyote katika utekelezaji.

MKJJ siasa si sawa na uandishi wa habari, ukiandika habari ni wachache sana watakaohoji ulichoandika, kwenye siasa watu huhitaji feedback. Mwanasiasa mahili ni yule anayeweza kujenga hoja na kuitetea hadi watu wakaikubali hata kama ni ya uongo, endapo hawatakubali awe ameshaandaa njia nzuri(maneno) ya kutokea.

Najua unajua uzembe umefanyika lakini umeshindwa kuujengea hoja kwa vile siku ya kwanza uliutetea leo unashindwa kujitoa, ningekuwa mimi wewe ningesema hivi 'tatizo limetokea halitarudiwa tena Ccj itakuwa makini sana siku zijazo' hiyo ndiyo njia nzuri ya kuutetea uzembe, kaa chini tulia fikiria ulipokosea then jirekebishe.

Luteni,

Kuna haja ya kuachana na haya marumbano na kuhamishia muda wetu kwenye kuhakikisha kuwa tunawasidia watu kuelewa njisi mambo yanavyokwenda. Nimetoka kwenye kikao cha kuhamasisha mtu ili agombee na sijaridhika na uelewa wa watu kuhusu mambo ya siasa.

Sasa sisi tunakaa hapa kubishana na kila siku anafungua thread mpya huu muda tungeutumia kufanya kuelimisha jamii au kuwatia moyo watu waliojitoa kupambana na kuiokoa hii nchi. Haya mambo ya CCJ tungeachana nayo kabisa kwa kuwa hii ni haki yao ya kikatiba na hatuna limitation ya idadi ya vyama.

Kama CCJ wameona udhaifu wa vyama vingine pia ni haki yao kuutumia ingawa nashangaa sana njisi wanavyoutumia na inaonekana wazi kuwa wanaua upinzani na kuinemesha CCM kwa kusema kuwa vyama vya upinzani ni ovyo, hii ni neema kwa CCM (hii nayo ni haki ya ya CCJ)

Luteni kwa kuwa wote hatujui intention yao inaweza kuwa ni nzuri lakini tusiingie kwenye mtege uwe wa nia yoyote ile na kujikuta kuwa kila siku tunawekwa kwenye mtego wa kuwa tunarespond kwenye mambo yasiyo na tija. Kwa mfano wa hili la kupereka barua kwa donors, huu ni upuuzi, wenyewe hela zao zinaliwa hawajui wafanye nini imebidi waanze kupunguza fedha zao kwa sababu wameshindwa la kufanya. walipotaka kutoa fedha kwa vyama vya siasa wakaambiwa waondoke leo hii hata ukienda unatoka damu hawana la kufanya.

Donors wako hapa ku take advatage of God's principle inayosema ili ubarikiwe lazima utoe na nawasifu kwa hilo. Ndiyo maana nchi nyingi zinataka hizo fedha ziwe 10% ya GDP
 
Shalom

Asante mkuu, unajua kweli hawa jamaa MKJJ na Rev. Kishoka wanataka kuwafanya watu wabaki wakijadili CCJ ambayo haipo, MKJJ anaendelea kupanga siku 100 wakati hata chama chenyewe hakitashiriki uchaguzi huu labda hizo siku ni za January 2015, MKJJ kajinasa mwenyewe kwenye mtego wake akitoka lazima atoke na matope.

Mshirika wake Rev. Kishoka kamkimbia kiutu uzima kaanzisha thread ya kuikosoa Ccj wakati lengo lake limebaki lile lile anataka tuendelee kupoteza muda kwa kitu kile kile(Ccj) huku akiendelea kuviponda vyama vilivyopo, akiwafumba watu macho wahangaikie itikadi hata kwa miaka 100 ijayo wasahau malengo makuu ya vyama vyao.

Ukichunguza kwa makini hii move ilianza mwanzoni mwa mwaka jana waangalie hao viongozi wake walivyofukuzwa jeshini eti kwa kutofautiana na wakubwa zao mwangalie Mpendazoe alivyotoka CCM angalia na respond ya CCM, jaribu kufuatilia magazeti na waandishi walivyoipamba Ccj halafu mwangalie Msajili anavyoucheza mpira, hii yote ni sinema ya kuwachanganya wananchi lakini imebounce.

Ni mawazo yangu tu.
 
Huu mjadala hauna tija kwani tunapoteza muda muhimu kujadili chama ambacho hakijasajiliwa.Vilevile,tunazidi kupoteza muda kwa vile hawa jamaa wa CCJ hawashauriki.
 
Back
Top Bottom