Kusema tu haitoshi!! Je unafanya nini?
i will tell you what I am doing:
1)At my capacity, nahudhuria vikao vyote vya Mtaa, na kuonyesha kwa ukali mambo gani yanatakiwa kufanywa, lakini yamefanywa amabayo si ya msingi.....kwa kuchanguia,
2) Nimewa-inspire vijana mtaani kwangu kuhudhuria vikao vya mtaa na kuhoji utekelezaji wa ahadi za kikwete kwa vijana.
3) Nina what i can call with confidence positive minded political class la vijana zaidi ya 30, na pia wanatengeneza timu amabayo kwa mshahara wangu wa mbayuwayu naweza kununua mipira miwili mitatu!!
4) Kwa connections za kawaida kabisa, nasambaza publication moja ya HakiElimu inaitwa Ahadi za serikali, (government promises) ili vijana wasome na waone ni kwa jinsi gani viongozi wao wana-promise vitu kila siku na hawafanyi chochote kutekeleza ahadi zao.
Attached hapa ni copy ya kiingereza ya government promises.
Kila mmoja wetu anayesema mabadiliko ni mwaka huu ana-wajibu wa kufanya kila lililo ndani ya uwezo wake kuwa chachu ya mabadiliko hayo!! na siyo kuwa chachu ya political diversion!!