Cc Miss Chagga

Miss Neddy

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,681
8,707
1419331002375.jpg
 
Khantwe stroke Mwanapropaganda MUSSOLIN jifunzeni kutochukulia kila kitu seriously ila kama imewagusa kwa namna moja ama nyingine hii picha samahanini

Hivi ungejisikiaje kama ni wewe ndio unajadiliwa kwa vicheko vya dharau na watu usiowafahamu?

kama hujui kusoma na kuelewa hiyo comment hiyo niliyokumention hapo juu pita ---------->

Mambo uliyoyasema kwenye hiyo comment ni..
1. Tusichukulie mambo serious
2.Tukusamehe kama umekosa
Namba 1 haiwezekani kama unaona inawezekana kwanini usingeweka picha yako au ya ndugu yako?
Namba 2. watakusamehe hao uliowakejeli sio mimi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom