Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Catherine amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi, Juni 28, 2025 na Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Arusha, Edina Bazima.