Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

Friends for keeps ?

Ndio mkuu Diaspora USA.

Kuna urafiki wa kudumu(moyoni) na urafiki wa kufahamiana tu. Mara nyingi wale tunaosema ni marafiki zetu ni watu tunaojuana tu, tena sio hata kwa undani sana.

Ukiona tuna anza kuuchambua urafiki hivi na wengi wakikiri kutoweza kudumu kwenye urafiki au kutohitaji marafiki kabisa ni dalili tosha za mabadiliko makubwa katika mahusiano ya binadamu ambapo inatabiriwa kuwa mahusiano ya kudumu yatapungua sana au kukoma kabisa.

Leo ni urafiki. Kesho itakuwa ndoa na familia na baada ya hapo kila mtu atakuwa ‘anaruka mwenyewe’(chambilecho JD).

Hivyo basi ukitaka urafiki wa kudumu(for keeps) inabidi uji-condition.

You have to commit yourself to learn to make, keep and believe in friends.

And it should be true friendship. Not the kind made out feelings of insecurity or Maslow’s “the need to love and be loved” because once those feelings or needs are gone so would the friendship.

I believe in the rationality of man so if I want someone to be my friend I tell them so and the terms of the friendship thereof.

But no monkey business intended mkuu Diaspora.
 
I got u
 
Wengi tunashindwa kutofautisha kufahamiana na urafiki. Ndio maana mtu anakwambia naomba tuwe marafiki.
Kwangu inakua ngumu sana kwa sababu urafiki ni kitu kinatokea kutokana na vitu au mambo yanayoweza kuwaleta pamoja.

Kiranga ameweka vizuri sana, kuwa rafiki yako mzuri wewe mwenyewe kwanza. Hapo haitakusumbua kwamba una rafiki mwingine au hauna kwa sababu tayari unae rafiki wa kudumu ambae ni wewe binafsi.

Unaweza ukawa na rafiki sio lazima uwasiliane nae au uchati nae kila wakati kumaanisha urafiki wenu upo kwenye kiwango bora, lakini ni pale ambapo ibapobidi au panapokua na uhitaji.

Ikumbukwe pia kuwa rafiki kuna gharama zake, inahitaji trust, muda na kujali. Hii sio kila mtu anaweza, ndio maana sio kila mtu anaweza kuwa na rafiki.

Kwa upande wangu naweza kuelewana na mtu kwa urahisi na haraka sana lakini haimaanishi turakua marafiki, inachukua muda sana na hii ni kwa vile nikishakua rafiki na mtu, mara nyingi inadumu sana. Nna rafiki nimesoma nae O level, tukaenda A level na hadi leo tuko marafiki na imekua kama ndugu lakini hatuwasiliani au kuonana mara kwa mara.

Rafiki mwingine niliyempenda ni kwa kuwa sio mnafiki. Ananiambia ukweli inapobidi kitu ambacho wengi wetu ni wanafiki, atakupamba au kukwambia vitu unavyopenda kusikia.

Mwisho wa siku usijilazimishe sana kufanya mambo ili kupata au kudumisha urafiki, acha vile ulivyo ndio iwe sababu ya mtu kukufaham na ijenge msingi wa urafiki wenu.

Bottom line, "Be your own best friend" (Kiranga, 2020) .
 
If the theory cannot fit the fact then change the fact.

Nilichokiona, if I'm to flip your story, wewe uko vizuri labda wafurahia zaidi mazungumzo ya ana kwa ana kuliko phone conversation, kama ni hivyo inapaswa whoever want to befriended with you alijue hilo kwamba ndo njia ya pekee ya kudumisha urafiki na wewe.

Maana ukikutana na rafiki mkiwa na quality time convo yaenda vizuri, mkiachana kwenye phone convo haiendi poa.

Mawasiliano hujenga uhusiano, tatizo ni preferance of mode of communication...
 
Ww unavyoonekanika tuu una element za u slay queen mana una dram sana ww una hata jinsi ya uandishi wako kingereza kiswahili umoumo andika lugha moja
..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww unavyoonekanika tuu una element za u slay queen mana una dram sana ww una hata jinsi ya uandishi wako kingereza kiswahili umoumo andika lugha moja
..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani jitu kama wewe unakuta kabisa una mpenzi eti. Anakuita "my evrisingi"

Unamwambia mtoa mada kwamba
""" wewe unaonekana una ELEMENT za u SLAY QUEEN maana una DRAMA sana".

Kama wewe sio kilaz hii ni lugha gani umeandika? Kiswahili? Kingereza?
Au umechanganya lugha?

Kingereza hakikwepeki unaweza pia ukaamua kujifunza la sivyo wivu wa kike utakuua wewe. Unatamani sana ujue kingereza ila kuonea wivu wanaoandika kingereza hapakufanyi ujue kingereza[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Halafu ni drama na sio DRAM.[emoji28][emoji28][emoji28]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona hii ni kawaida na ni zuri wala haina tatizo.
 
Tena wakina dada navaa na earphone kabisa hata kama anauliza kitu nikijibu tu napiga kimya
Sasa Below 40 mbona nina mpango wa kukutafuta siku moja tupige story mbili tatu. Inamaana utakaa kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…