Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
- Thread starter
-
- #101
Exactly, upo sahihi kabisa Don.Nafikiri ni aina fulani ya ubinafsi, kwa kizungu inaweza kuwa na maana nyepesi zaidi tofauti na kiswahili.
Kwa sababu, kuna yule mtu au rafiki unampenda, huyu unaweza hata kuongea naye masaa 2 ujinga ujinga na usione kama unapoteza muda.
Ila wengine hata kujibu SMS tu ukaona kazi.
Hiyo Solutions ndio naihitaji kutoka kwenu livewise1
Ukiwa smart, unafahamu limits zako. Utafahamu umuhimu wa uhuru kwako na kwa hao marafiki. We all need space and only smart people know this. Pia urafiki mwingi unabebwa na drama zisizo za lazima. Ukiwa smart, you can simply tell shit ain't real. Urafiki wa kugandana unapaswa kuishia sekondary sweetheart!
Hahaa. Mtu anayeweza kukaa na wa kishua, halafu akakaa uswazi.Akakaa na mabaharia, halafu akakaa na walokole. Akakaa na wabongo, halafu akakaa na wanyamwezi.
Akawa mpenzi wa kujiendeleza kielimu, akajua changamoto za maisha na namna mbalimbali za kuzikabili...
Nafikiri anaweza kusema amepata maksi za kiasi fulani katika kile Wafaransa wanachokiita "savoir faire", uwezo wa kuwa na maadili na ujuzi wa kufanya kitu sahihi, kwa muda sahihi, pahali sahihi.
Sasa hapo ndipo unapokuta mtu kaleta mchango JF kitu ambacho watu washapitia, kinajulikana, mara nyingine hata kumueleza kwamba hilo jambo watu wengi wanalo na ni kawaida inakuwa faraja kubwa. Kwa sababu pengine mtu anaweza kujiona yeye ni wa ajabu, wakati hata nusu ya robo ya ajabu hajafikia.
Hiyo mimi hapana aise! I think it happens naturally.... Yaani mimi mtu akiniambia hivo namuavoid kabsa anaweza kuwa TISSUnamwambia napenda kuwa rafiki yako, vipi tunaweza kuwa marafiki?
Barikiwa sana Chalii wa ara.Nafkiri si mbaya kuwa na marafiki ama kutokuwa nao kabisa inategemea na wewe ni mtu wa namna gani
Lakini kitu nilichogundua pia as we grow old majukumu yanaongezeka na baadhi ya mambo ya kale yanapungua so it might be relation or other stuffs .. Khy mtu unakuwa consisted his daily schedules
Binafsi nafkiri nafahamiana na watu wengi ila sina rafiki and its okay kwa upande wangu ..vitu vyangu najishirikisha mwenyewena Mungu wangu ,vingine vingine bi mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushukuru mkuu, hizo principles watu wanaozifuata ni wachache sana siku hizi.Kiranga
Umenifurahisha na comment zako na imenikumbusha msemo ukitaka kupata marafiki wa kweli ishi maisha kama ya kinyonga zaidi ni kijifunza kuangalia mazuri ya mwenzako ikiwezekana mpongeze kwa jambo zuli alilanalo na kuwa mwepesi wa kuomba msamaha pale unapokwaza wenzako . Kumbuka Mungu ndiye aliyeumba watu wote mshua, wa uswazi, msomi , baharia , lofa , mdini , mdhambi . Mimi nimejifunza kumfurahia mtu kama alivyo , kila binadamu ana jisikia faraja kuona anathaminiwa .
Urafiki hujengwa au uja wenyewe au waweza amua maisha yako hutaki rafiki labda kwa kujiona unajitosheleza kwa kila kitu , wazungu wa western countries wengi wao kutokana na utoshelevu kimaisha wananiona kinachobaki ni kazi na kutaradadi dunia kukutana na watu wapya maisha mapya maisha yao ya kitajiri , afrika matajiri hasa ni wachache na utamaduni wa afrika kama ndoa na harusi, misiba , maisha kwa ujumla umekaa kirafiki/ kijamaa zaidi.
Mbinu unazoweza kutumia kujenga urafiki imara;
1.Penda na jali watu , misemo kama impressing people endup poor ipotezee
2.Endeleza na furahia career, vipawa, karama zako on the way ukikutana na mtu anatabia kama zako au unavutiwa na maendeleo yake mfurahie usimuonee wivu mtajikuta automatically mnakuwa marafiki .
3.watu unaojisikia furaha kuwa nao waonyeshe hivyo hata kama hamuonani ama kuwasiliana mara kwa mara.
4.Jenga mazoea ya kujichunguza weakness zako mara kwa mara ambazo zinaweza kuudhi watu mfano kama unajiona ni mbinafsi, hasira, chuki, roho mbaya, ugomvi nk tafuta namna ya kuachana na rabia hizo ama kwa kusali na kuombewa au tafuta psychologist au unayemwamini akusaidie ubadilike.
4.Jijengee tabia ya kuwa mtu wa kutoa msaada , kufariji kimawazo, pesa, ujuzi , muda nk usiangalie sana maslai utalipwaje as urafiki sio ajira au fursa kwani changamoto za urafiki ni tofauti na changamoto za ajira / fursa tanguliza sana utu.
5.Jali na wafurahie wenzio zaidi unavyojipenda wewe .
Wale wanaosema wanaona shida kuimarisha urafiki wajaribu mbinu hizi ni uzoefu niliouona kwangu ambao nimeuchunguza kutokana marafiki wengi niilio nao ambao wengi nimedumu nao zaidi ya miaka 30.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Baada ya Kusoma sana Michango ya Wachangiaji nimepata hitimisho..Nimekuelewa barabaaara.
Tusubiri hapa tupate tiba kutoka kwa wachangiaji.
Usiache kupitia comments kusoma.
Trust me hamna mambo ya Ego wala ubaguzi au kujiona bora kuliko mwingine.Ego is still an issue around here..kwa mfano mtu anakutumia message humjibu hii ina maana gan?, ukute huyo mtu hamjawasiliana for days..Selfishness na Ubaguzi pia na kujiona bora kuliko wengine ama una deserve better than others thats why inafikia hatua unashindwa kuji intergrate katika jamii ya watu.Kuna wengine hatafuti watu mpaka atafutwe yeye na hata ukimtafuta anakuwa hatoi ushirikiano hana ubize wala nn na wengine hazikuwa tabia zao ila unakuta ana change ghafla anapoingia katika mazingira mengine km Chuo, Kazini nk.Bila kujua masikini anajikuta hana marafiki mwishowe tunapata nyuzi kama hizi issue sio kwa namna gan una keep friends wala nn jiangalie ww mwenyew tabia zako, and trust me hakuna kitu bora zaidi kama kuwa na loyal friend huyu anaweza kukusaidia kuliko hata hao wanafamilia wako unaowategemea.
Nadhani anatosha, kazii naamini siku nikiacha pale hakuna muendelezo wowote, sioni. Majirani hawa ni obligation kuwa nao, ila tunaonana mara chache sana, kanisani siendi, classmates ni washkaji tu nothing special.Wife tuu anatosha Eli?
Kweli utakosa yule "mshikaji " ambaye hata wife akisumbua unaomba ushauri?
Ohhh sorry...Hoja ipi unayoiunga mkono Ushimen, acha vituko [emoji4]
Shida yako ipi ndugu?mods mnasemaje kuhusu hii ID??
this man scare us,,,,yoh mods u must du samthing[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
True mtu anataka Kila wakati mtafutane muwasiliane mm hayo hapana nitawasilana na wangapiHii ni nzuri, unakuta mtu hamna namna yoyote mnakuwa tena connected baada ya wewe kuondoka. Kinachobakia ni kusalimiana tuu. Inachosha.
Tuko tofauti unakuta mtu ana maisha mengine kabisa na mimi ni maisha flani nayakubali, au ana characters nazikubali hivo nataka awe karibu zaidi lakini huwa siombi urafiki. Urafiki naamini unatakiwa utokee tu, na mara nyingine unaweza kuwa na rafiki ambaye hamuendani kabisa lakini mnapendana na kuelewana.Kwanini hao unaotamani wawe rafiki zako hawana nia? Au mnaishi maisha tofauti?.
Unaweza ukawaomba urafiki kama unatamani kuwa rafiki yao. Haujaliwaza hili?
Deuces!Asante KANA.
Kweli mambo ya kugandana ni secondary. We've got so much to do kadri umri unavyoenda.
Barikiwa sana.
Nafikiri ni aina fulani ya ubinafsi, kwa kizungu inaweza kuwa na maana nyepesi zaidi tofauti na kiswahili.
Kwa sababu, kuna yule mtu au rafiki unampenda, huyu unaweza hata kuongea naye masaa 2 ujinga ujinga na usione kama unapoteza muda.
Ila wengine hata kujibu SMS tu ukaona kazi.