Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

Rory Asante sana.
 
Kwa siku natumia masaa matatu tuu kujifunza mambo mapya sikosi muda bana mzee toboa.
Btw, your comment is well appreciated.
 
Asante KANA kwa maoni yako.

"Pia kadri unavyokua smart upstairs, ndio unavyozidi kua na marafiki wachache" kwanini?
Ukiwa smart, unafahamu limits zako. Utafahamu umuhimu wa uhuru kwako na kwa hao marafiki. We all need space and only smart people know this. Pia urafiki mwingi unabebwa na drama zisizo za lazima. Ukiwa smart, you can simply tell shit ain't real. Urafiki wa kugandana unapaswa kuishia sekondary sweetheart!
 
Baada ya kuoa rafiki yangu amekuwa wife. Urafiki wa kuambiana issues za ndani kabisa ni hatari sana, ilà pia sipendi huo urafiki ambao nakuwa na ulazima wa kumuandikia mtu, kwamba nisipoandika/nisipopiga atanielewa vibaya.
Wife tuu anatosha Eli?
Kweli utakosa yule "mshikaji " ambaye hata wife akisumbua unaomba ushauri?
 
Thank you Chaliifrancisco.
 
Nafkiri si mbaya kuwa na marafiki ama kutokuwa nao kabisa inategemea na wewe ni mtu wa namna gani

Lakini kitu nilichogundua pia as we grow old majukumu yanaongezeka na baadhi ya mambo ya kale yanapungua so it might be relation or other stuffs .. Khy mtu unakuwa consisted his daily schedules

Binafsi nafkiri nafahamiana na watu wengi ila sina rafiki and its okay kwa upande wangu ..vitu vyangu najishirikisha mwenyewena Mungu wangu ,vingine vingine bi mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Here Bey is talking about being her ‘own best friend’.

Although the ballad is about a breakup of a romantic relationship, the mesage is beyond that.

Wow!! MM&I is my favorite Beyonce Song.
 
Nitalifanyia hili kazi Fendi. Asante kwa ushauri.
 
Nimekuelewa Zurri.
 
tafuta ule uzi wa "introverts & shy people" utajua kwa nn upo hvo

link yake hii hapa

Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?


Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mimi sio introvert, shy wala anti social.
Napenda kujichanganya na watu, kupiga strory, kutoka out na ni mchangamfu sana mpaka wanatamani kila siku niwepo.

Lakini tatizo langu ni kuuendeleza urafiki niliouanzisha. Kwa mfano tunaweza kula bata leo pamoja, au tukasafiri pamoja tukakaa hata wiki pamoja. Ila tukishaachana napata ugumu wa kuuendeleza huo urafiki.
 
Me too, I am seeing a lot of myself in this comment. Thank you Pendo.
 
Trust issues_Drake







All I care about is money and the city that I am from..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…