Tena hiyo ni coke studio ya south africa ambayo ni kubwa zaidi kuliko ya kenya na diamond ndo mtanzania pekee aliechaguliwa, sasahuyu jamaa analeta chuki zakeKwan hao coke hawakumuona Ali mwenye vocal nzuri mbona wanamtaka huyo huyo saut inayokwaruza, chuki ni uchafu wa moyo
Hivi wasanii wote wakubwa duniani wana sauti kama ya hilo dumeshupa linalokutoa povu??Sikiliza vizuri huwo wimbo zen ulete mlejesho je sauti haikwaruzi???
Ukisema unaonekana hater cjui team domo wanamatatizo ganiDiamond anaimba flat mwanzo mwisho hii na kwa wanaujua mzuki wa do le mi so fa wanaelewa kuna sehemu kajaribu kupanda hahahhaa kidogo makohozi yamtoke..!!
Wanajifurahisha ila ukweli wanaujua...Ukisema unaonekana hater cjui team domo wanamatatizo gani
MSIKILIZE KIBA COKE STUDIO ANAIMBA CHEKECHA KAMA AMEMEZA CHURA ANAHEMEA JUU JUUSauti kama anamemeza ugali wa moto inakwaruza balaa ajipange sana ndo atamfikia king kiba kwa vocal
Sauti kama anamemeza ugali wa moto inakwaruza balaa ajipange sana ndo atamfikia king kiba kwa vocal
Special for coke studio za ila ishashambaa mitandaoni uko nigeria na S.A utasema official track haijawahai tokea mash up ikatembea mitandoni fast km hiiNew song au mash up?