Cassper Nyovest ft Diamond Platnumz - My heart

Sauti kama anamemeza ugali wa moto inakwaruza balaa ajipange sana ndo atamfikia king kiba kwa vocal
Alikwambia anashinda na kiba kwa vocal nani? Diamond ana teste yake na waafrica wanaipenda , ndo kaama kila mwaka anakwarua tuzo africa nzima wanamjua
Huyo wako mwenye vocal mwisho mombasa sijui nchi zingine hawamuoni?
 
Sikiliza vizuri huwo wimbo zen ulete mlejesho je sauti haikwaruzi???
 
Unawajua dmx , ja rule , davido au olamide ? Kama ulikuwa hujawahi kusikia sauti za kukwaruza nenda kawasikilizw hawa ndo uje na hoja ya maana
 
Sauti kama anamemeza ugali wa moto inakwaruza balaa ajipange sana ndo atamfikia king kiba kwa vocal
Kwan hao coke hawakumuona Ali mwenye vocal nzuri mbona wanamtaka huyo huyo saut inayokwaruza, chuki ni uchafu wa moyo
 
Sauti kama anamemeza ugali wa moto inakwaruza balaa ajipange sana ndo atamfikia king kiba kwa vocal
Diamond kaimba vizuri sana sio huyo kiba kubana sauti tu diamond hana mpinzani kwa alichokionesha hapo
 
Back
Top Bottom