win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,570
- 36,097
najua bro😂Haha
Uyo sio bro mkuu
najua bro😂Haha
Uyo sio bro mkuu
Bro limeisha hili tusubiri milionea ajebro ukiokota sema nikupe lipa namba chap 😅
Kuna mtu ananidai nimemwambia asubirie kidogoKUNI tajiri anaingia online anatuchora machawa tunavyohahaaa hapa kupata posho...🤣🤣🤣🤣
Tusubiri mpira uishe ndio dakika ya 90.Kama aliweza kutuma humu screenshot ya mwanzo kwa nini ashindwe kutuma hiyo aliyo win au aliyocashout,mambo kwa ishahidi vinginevyo kwa ukimya huu hatuna Imani na huo mkeka wa mwanzo kama kweli ni wake
Screenshot kama ulivyo wek ile itapendezaROHO YANGU HAIJAWAHI KUNIDANGANYA, ZOTE 3-0 HALF TIME na ndiyo mechi pekee za second round team imepata walau goal 3 half time.
Hongera mkuu kwa uvumilivu..aiseeeROHO YANGU HAIJAWAHI KUNIDANGANYA, ZOTE 3-0 HALF TIME na ndiyo mechi pekee za second round team imepata walau goal 3 half time.
usitusahau kwenye huo utukufu..namba pm tayariROHO YANGU HAIJAWAHI KUNIDANGANYA, ZOTE 3-0 HALF TIME na ndiyo mechi pekee za second round team imepata walau goal 3 half time.
🔨🔨🔨Screenshot kama ulivyo wek ile itapendeza
Screenshot win ya leo
😂😂😂Kwanini ulipokea rushwaIla Mbupu zinauma sana aisee.
😂😂😂Kwanini ulipokea rushwaIla Mbupu zinauma sana aisee.