Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

Hongera bro.

Ila mkuu we noma. Umeweka option ngumu sana, halafu odds zake zinatisha. Kwa sisi wakamaria wa kawaida tungeogopa hizo odds kwasababu ni kubwa.

Hata hivyo ulitulia mpaka kupata hizo mechi 4 zenye jumla ya odds 2,052. Utulivu kama huo siyo mchezo. Inabidi uwe mzoefu kwenye betting.
 
ni ngumu kaka FEAR always ina take over
Hakuna ukiwa mkamaria lazima uwe na miiko yako Binafsi biashara ya kucash out sifanyi kwa sababu nilishawah kufanya hivyo mara 3 najikuta napishana na gari la mshahara labda nikate bima kulinda stake.
 
Back
Top Bottom