Tajiri alicashoutwakuu tuweni wapole tusubiri tajiri arudi
aisee ila kuiangalia milioni 8 dakika ya 23 inahitaji moyooTajiri alicashout
Kama kweli alikaza basi yeye ni tajiri kweliaisee ila kuiangalia milioni 8 dakika ya 23 inahitaji moyoo
mimi tokea ile 2.3M ningeshatupa taulo zamani
Nshamuinbox namba ya kupokelea na jina nmemwambia linakuja Eveukikumbuka alikua na ahadi yako dadeq😅😅 tulia kwanza presha yake ishuke
😂😂😂😂😂 Shida yupo kimya hatujui usalama wake hukowakuu tuweni wapole tusubiri tajiri arudi
Usikute mods wana chat nae halafu sisi tumepigwa blocku 😂😂😂🙌🏾😂😂😂😂😂 Shida yupo kimya hatujui usalama wake huko
inavyoonekana mara ya mwisho kuwa online ni dakika ya 30 ya mechi.😂😂😂😂😂 Shida yupo kimya hatujui usalama wake huko
🤣🤣🤣🤣🤣 Huu ni ukatiliUsikute mods wana chat nae halafu sisi tumepigwa blocku 😂😂😂🙌🏾
mimi nilisha muinbox lilipoingia goli la 2 tu..🤣🤣🤣Nshamuinbox namba ya kupokelea na jina nmemwambia linakuja Eve
Mil 8 kwa buku ten ni hela ya maana hiyoinavyoonekana mara ya mwisho kuwa online ni dakika ya 30 ya mechi.
na alisema ikifika dakika ya 30 anakomba chote kilichobaki...
.na goli limepatikana dakika ya 39..
hizo hesabu hazipo mkuu hata leo hii boss ale milioni 18 aseme yeye na betting tu... inapeperuka yote.Uwekezaji.... ukiw una uwezo wa kutengeneza mil 5 kila mwezi ajira ya nini?
bro ukiokota sema nikupe lipa namba chap 😅Nshamuinbox namba ya kupokelea na jina nmemwambia linakuja Eve
Simuelewi kabisa millionaire Kuni huu ukimya wake