Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

Ungekosea stake kwa kuongeza sifuri mbele sahivi 180M kiboss mno kiinua mgongo cha Boss Mkubwa tu.
 
Hongera bro.

Ila mkuu we noma. Umeweka option ngumu sana, halafu odds zake zinatisha. Kwa sisi wakamaria wa kawaida tungeogopa hizo odds kwasababu ni kubwa.

Hata hivyo ulitulia mpaka kupata hizo mechi 4 zenye jumla ya odds 2,052. Utulivu kama huo siyo mchezo. Inabidi uwe mzoefu kwenye betting.
Baada ya kucheck underperformance ya Portugal kwenye mechi ya kwanza, logic ikaniambia lazima mechi ya pili wapambane kurudi kwa kishindo. Na kutafuta goli la haraka ndo njia pekee ya kurudisha confidence.

Na kwa kuwa kwenye mechi ya kwanza walipata goal la mapema wakarelax, this time wakifanikiwa wataendeleza msako. Hivyo nikawapa probability ya kuscore goal zaidi ya 2 hasa ukizingatia poor quality ya opponent.

Ndo nikapata wazo la kutumia the same logic kubahatisha team zenye uwezo mkubwa wa kuscore lakini ziliunderperform mechi za kwanza; nikapata Canada, Spain na Brazil. NIKAJILIPUA.

This time imekuwa bahati, trend imeleta matokeo. Imevunja rekodi yangu ya kupiga odd 800 kwenye mechi 3.
 
Laiti mkeka ungechana ungewasikia wale wa kamari ina uraibu mno kuliko madawa ya kulevya ila huku kitaa mbona tunawaona watu wanapiga pesa na wengine wanapigwa pesa kama ilivyo kwenye kilimo tu au ajira
Hao wanaosema betting haina maana wana sababu ya kusema hivyo. Kwenye hao kuna ambao wana kazi zao wamejitosheleza hawaoni umuhimu wa betting, kuna wale wasiopenda na kufuatilia michezo, kuna wale walioliwa sana na Mhindi wakaamua kuacha.

Ni kweli betting ni ngumu, tena sana. Tulio ndani ya industry tunaona. Lakini imeshakuwa kama starehe.
 
Baada ya kucheck underperformance ya Portugal kwenye mechi ya kwanza, logic ikaniambia lazima mechi ya pili wapambane kurudi kwa kishindo. Na kutafuta goli la haraka ndo njia pekee ya kurudisha confidence.

Na kwa kuwa kwenye mechi ya kwanza walipata goal la mapema wakarelax, this time wakifanikiwa wataendeleza msako. Hivyo nikawapa probability ya kuscore goal zaidi ya 2 hasa ukizingatia poor quality ya opponent.

Ndo nikapata wazo la kutumia the same logic kubahatisha team zenye uwezo mkubwa wa kuscore lakini ziliunderperform mechi za kwanza; nikapata Canada, Spain na Brazil. NIKAJILIPUA.

This time imekuwa bahati, trend imeleta matokeo. Imevunja rekodi yangu ya kupiga odd 800 kwenye mechi 3.
Oya siyo poa. Kujilipua huku
Nilikuvunja moyo u cash out kumbe ulikuwa unakaribia hela duh kweli imekulipa muhindi hamini macho yake huko hahaa
 
Baada ya kucheck underperformance ya Portugal kwenye mechi ya kwanza, logic ikaniambia lazima mechi ya pili wapambane kurudi kwa kishindo. Na kutafuta goli la haraka ndo njia pekee ya kurudisha confidence.

Na kwa kuwa kwenye mechi ya kwanza walipata goal la mapema wakarelax, this time wakifanikiwa wataendeleza msako. Hivyo nikawapa probability ya kuscore goal zaidi ya 2 hasa ukizingatia poor quality ya opponent.

Ndo nikapata wazo la kutumia the same logic kubahatisha team zenye uwezo mkubwa wa kuscore lakini ziliunderperform mechi za kwanza; nikapata Canada, Spain na Brazil. NIKAJILIPUA.

This time imekuwa bahati, trend imeleta matokeo. Imevunja rekodi yangu ya kupiga odd 800 kwenye mechi 3.
Sio mbaya wazee wa mikeka kujifunza kitu hapa amini kile unachokiamini, niseme tu master umeiva, inaonekana sio mtu wa kufata mkumbo, uko kwa game kitambo sana, Hongera sana, nliwai kula 1,108,200 kwa jero kwa odd za ngumu kumeza zile za 2/1 au 2/1, HONGERA KAKA
 
Baada ya kucheck underperformance ya Portugal kwenye mechi ya kwanza, logic ikaniambia lazima mechi ya pili wapambane kurudi kwa kishindo. Na kutafuta goli la haraka ndo njia pekee ya kurudisha confidence.

Na kwa kuwa kwenye mechi ya kwanza walipata goal la mapema wakarelax, this time wakifanikiwa wataendeleza msako. Hivyo nikawapa probability ya kuscore goal zaidi ya 2 hasa ukizingatia poor quality ya opponent.

Ndo nikapata wazo la kutumia the same logic kubahatisha team zenye uwezo mkubwa wa kuscore lakini ziliunderperform mechi za kwanza; nikapata Canada, Spain na Brazil. NIKAJILIPUA.

This time imekuwa bahati, trend imeleta matokeo. Imevunja rekodi yangu ya kupiga odd 800 kwenye mechi 3.
Mechi ya pili ni lazima Portugal wangepambana washinde, kwasababu walikuwa wanahitaji kufuzu kuelekea hatua ya mtoano. Lakini ilikuwa ni ngumu kuamini kama 1st half angeshinda goli tatu.

Una timing nzuri, kumbe ulipiga odds 800 kimyakimya?!!,
achilia mbali hizi odds 28 za England vs. Croatia. Huwaga unaumiza sana kichwa mzee
 
Kuna muda cashout ilisoma 9.8M just after second goal. Almanusra nicash out, lakini nikasema no potelea mbali. Dakika ya 30 mzigo umepungua mpaka 5M, nikaendelea kubana Mbupu. Hatimaye kanji kalia vilivyo.
Sasa unanu nunua ka brevis wakati huna mradi ni akili za wabetiji nb ninawaza tu Niko nje ya mada na muda
 
Mechi ya pili ni lazima Portugal wangepambana washinde, kwasababu walikuwa wanahitaji kufuzu kuelekea hatua ya mtoano. Lakini ilikuwa ni ngumu kuamini kama 1st half angeshinda goli tatu.

Una timing nzuri, kumbe ulipiga odds 800 kimyakimya?!!,
achilia mbali hizi odds 28 za England vs. Croatia. Huwaga unaumiza sana kichwa mzee
Jamaa yuko vizuri anatuliza kichwa
 
Mechi ya pili ni lazima Portugal wangepambana washinde, kwasababu walikuwa wanahitaji kufuzu kuelekea hatua ya mtoano. Lakini ilikuwa ni ngumu kuamini kama 1st half angeshinda goli tatu.

Una timing nzuri, kumbe ulipiga odds 800 kimyakimya?!!,
achilia mbali hizi odds 28 za England vs. Croatia. Huwaga unaumiza sana kichwa mzee
Kawaida. Mi odd chini ya 10 huwa sichezi. Nimepigwa mara nyingi, lakini nikiwanyoosha, nawanyoosha kisawasawa.
 
Back
Top Bottom