Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

Kawaida. Unaweza usiwe na njaa, bado ukawa na papara. Na unaweza kuwa maskini jeuri pia, utulivu 100%.
Afisa KUNI, hongera nyingi sana kwako afisa ubashiri mwenzangu.
Nimejifunza somo kubwa sana toka kwako.
Usinisahau na mimi nipate mtaji kwa ajili ya hii World Cup, maanà nilipumzika baada ya ligi kuu za Ulaya kuisha kwa kukosa mtaji,ila somo nimepata na nataka nianze kulifanyia kàzi.
Hongera sana na natanguliza shukrani na Mungu aendelee kukubariki.
 
Hapo ili usivurugane nao,uwe unatoa kidogo dogo .
Lasivyo utajikuta wanakuomba uthibitisho wa account na issue nyingine nyingi.
Sportybet unatoa milioni 5 kwa muamala mmoja sijajua kampuni zingine ila nyingi sana ni milioni 1 nafikiri hata hawa Meridian angalau kidogo betpawa unaweza toa milioni 3.
 
Hao wanaosema betting haina maana wana sababu ya kusema hivyo. Kwenye hao kuna ambao wana kazi zao wamejitosheleza hawaoni umuhimu wa betting, kuna wale wasiopenda na kufuatilia michezo, kuna wale walioliwa sana na Mhindi wakaamua kuacha.

Ni kweli betting ni ngumu, tena sana. Tulio ndani ya industry tunaona. Lakini imeshakuwa kama starehe.
Sasa unadhani Kuna kitu chepesi cha kupata pesa?
 
Kama kawaida. Ni mwiko kubet chini ya odd 10.
 

Attachments

  • Screenshot_20260625_015401_Chrome.jpg
    Screenshot_20260625_015401_Chrome.jpg
    96.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom