CAS is now open for 2nd round applications only

kama hujafanikiwa kufungua profile yako jana___basi jiandae kupata chuo kimoja kati ya ulivyo omba.... vingnevyo kaatayar kwa kuaapply tena jitaidi as soon as possible wakisha fungua 2rnd round mapema sana iliupate walau kozi nzuri na priority....!! 0ver
 
wadau mm programu zote nimeandikiwa validate program sasa sijaelewa nielewesheni

mkuu unaongelea nacte au tcu, manake tcu haipatikani af ata jana sikuiona hiyo ishu ya validate, kwa waliochaguliwa sehemu ya selection ilikuwa ina "provisionally selection result" na waliotakiwa kufanya 2nd round kulikuwepo na option pembeni ya "make 2nd round application" pia kwa tcu programme zote hazikuonekana kwa waliopata selection na ata waliokosa
 
oyoooo cas inafunguka kuanzia sa 6:00 ha sa 8:00 uck
 
TCU Fanya yako ukimaliza utanishtua naenda kwa mama yako mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…