Carpet Kwenye Mvua?

Hapo ndio linatumika vizuri zaidi kuliko kwenye jua.
Matope noma kuliko vumbi!
Ingawa wanafata protocol tu.
 
Wakuja ni wakuja tu, zipo carpet mpaka za swimming pool, za garden, zote hizo ni water proof, na hilo unaloliona ni spesho kwa nje nalo halidhuruwi na maji.
 
Wakuja ni wakuja tu, zipo carpet mpaka za swimming pool, za garden, zote hizo ni water proof, na hilo unaloliona ni spesho kwa nje nalo halidhuruwi na maji.[/QUOTE
hahahaha wakuja duuh.
 
Wakuja ni wakuja tu, zipo carpet mpaka za swimming pool, za garden, zote hizo ni water proof, na hilo unaloliona ni spesho kwa nje nalo halidhuruwi na maji.

I see....sikujua hilo kwamba Ikulu imenunua waterproof carpet inagwa mimi naona hili limelowa kabisa.....ikulu watakuwa wamepigwa.....ingawa kwa kutokujua siwi wa ''kuja''
 
Wakuja ni wakuja tu, zipo carpet mpaka za swimming pool, za garden, zote hizo ni water proof, na hilo unaloliona ni spesho kwa nje nalo halidhuruwi na maji.
na wewe kwa kujifanya unajua mambo ya ikulu hujambo
endelea kujipendekeza bado miaka 4 ya neema kitakachofuatia hata wewe utakionja.
 
hapo wazee ambao hawana mwamvuli wanaskilizia matone ya mvua kwenye ule mstari wa milima miwili huku kwenye kalio zao..! huwa mvua ikizidi pale panakua daaah ngoja nisiendelee..! na ukiona pako hivo basi ujue kweli mvua ilikunyea..!
 
Inawezekana Carpet lilitandikwa kabla ya mvua kuanza.
 
Wakuja ni wakuja tu, zipo carpet mpaka za swimming pool, za garden, zote hizo ni water proof, na hilo unaloliona ni spesho kwa nje nalo halidhuruwi na maji.
Nilikuwepo na liliingia maji na halikuwa na uspesho wowote maana hawakujiandaa kwa mvua hiyo, ni vizuri tuwe wakweli badala ya kushabikia hata carpet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…