CareerDollar ni ukweli.

Mpenda kazi

Senior Member
Dec 13, 2013
157
225
wadau naomba kuuliza kuhusu hii kitu ni kwamba kuna mwana JF mmoja alikuja na maelezo yanayohusu kujiunga na CareerDollar kisha kutengeneza pesa bila ya kutumia nguvu nyingi.

Sasa wana jf wengi walisema kwamba ni WEZI ila kwa upande wangu sikudharau nikajaribu kujiunga na nikapewa link yangu http://CareerDollar.com/?id=Babuali.

Nikaanza kuitangaza kwa bahaati nzuri watu wakawa wanaingia sana kwenye link yangu, sasa leo hii nimefungua kwenye akount niliyojiunga nayo kwenye wabsite yao nikakuta nina DOLLAR 370. Na nikapewa utaratibu wa namna ya kuanza ku-download form ya maombi ya fedha niliyoipata.

Baada ya kuingia kwenye hatua ya kwanza ya kudownload tu, nikaona maneno yafuatayo;
SORRY THERE ARE NO OFFER IN YOUR REGION AT THIS TIME. CLOSE

Sasa naomba msaada kwa mdau yeyote anayelewa namna ya kupata huo mkwanja au kama ndio kweli wezi niambiwe jamani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom